njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
NAAAM ,mambo ni bam bam inafurahisha sana eti kusikia Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofata katiba na kuizingatia kwelikweli, kudadeeeeki ukigeuka huku unakuta video za wana ccm wakihimiza umwagaji damu, ukigeuka huku unakuta TCRA wanakaushia habari ya mwananchi yenye angle ileile iliyosababisha kwanza tv wakafungiwa
Kabla hujakaa sawa unakutana na mauzauza ya tume ya uchafuzi kuwapa ccm vifaa au tuseme huwa vinalala kwenye store za ccm, shaaaaaa jamani, tukubaliane tu kwamba nchi hii imekuwa comedy bana, tusibishane na hapo kuna watu wanaitawala waliapa kwa kushika kurani na biblia au hivi vitabu vya uongo? mbona hakuna masaibu yanayowakuta kwa kuapa na vitabu vya dini na KUFANYA MAKOROKOCHO NA DHAMBI KIBAOOOOOOO?