Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi

Mkuu kwanza pole sana.
Hao wapo tofauti sana na sisi kifikra.. Anaweza akakuzoea sana kiasi wewe ukaona umepata kumbe, ni moto mkali ukimuanza.
Angekuanza yeye ungeenjoy ili kaka umewahi pole sana.
Tafuta mwanasheria wa ukweli utashinda tu..Ila kuhusu kazi inategemea wana uzito gani kwa hiyo kampuni.
 
Useless idiotia!
Yaani hata kama alikuwa anakutaka ndo unaparamia sidiria na chupi? Alipiga yowe manake alistukia ameingia chaka! Hakuna maandalizi, hakuna nini unadaka bra?

Jf haijakusaidia! Acha kuchezea bundle!
 
ungemmega kusingekuwa na kesi hapo.... mkuu unaonekana hujawahi kucheza game za hatari; hapo ungepenyeza kitu bila kumvua, akishtuka anajikuta mambo yameshaharibika
Kama kumchombeza tu imekuwa hivyo; sasa angefata unavyosema si angemng'ang'ania anyongwe hadi kufa? Anyway, kwa wenzetu hata mkeo wa ndoa huwezi mvua chupi namna hiyo! Ukifanya hivyo tu imekula kwako, umembaka na utaenda mbele ya Pilato. Nasikia na Bunge letu lime copy and paste sheria hizo za ughaibuni.
 
kiufupi huyo mzungu alikuzimia

tatizo wewe ni ushamba


tafuta dictionary tazama neno ROMANCE....utaelewa
 
nasikitika jinsi huyu mzungu alivyo kimwagia mchanga kitumbua chako.majaribu ni kitu hatari
 

TAfuta mwanasheria mwanamke uongee naye usikie atakupa ushauri gani.
Mwenyewe umejikanyaga, otherwise ungemgeuzia kibao. Nyumbani mwako, chumbani kaingiaje? funguo kapataje? kitandani kwako tena uchi? usiogope huyu alikuwa na malice aforethought. Nenda pale NEDCO kuna Plaza ya wanasheria mtafute ndg MANDELE
 
TAfuta mwanasheria mwanamke uongee naye usikie atakupa ushauri gani.
Mwenyewe umejikanyaga, otherwise ungemgeuzia kibao. Nyumbani mwako, chumbani kaingiaje? funguo kapataje? kitandani kwako tena uchi? usiogope huyu alikuwa na malice aforethought. Nenda pale NEDCO kuna Plaza ya wanasheria mtafute ndg MANDELE
 
kaka tafuta mwanasheria kabisa hiyo kesi mbichi kabisa,..and pole
 
Mimi napata wasiwasi HII NI STORI ya shigogo, Inamaana wewe unalala ufungi mlango? inakuwaje mtu aje aingie ndani bila ya wewe kushtuka tena mchana? jibu tuendelee na kuhoji
 
Jamani kwani huwezi kumuona mtu bila nguo ukamfunika ukaondoka ?
 
ungemmega kusingekuwa na kesi hapo.... mkuu unaonekana hujawahi kucheza game za hatari; hapo ungepenyeza kitu bila kumvua, akishtuka anajikuta mambo yameshaharibika

khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
me nahisi uyo mzungu ametumwa aise...manake hata kama ni utamaduni wao sio kiivo..it doesnt make sense eti aje akukute umelala then avue afu alale pembeni yako!
 

Alitaka chagulaga mujini..du!
 
Ktk Bible kuna pahala panasema..."Lakini kila mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe, na kudanganywa!
Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti..."
 
Ndugu, ulikosea. Design wewe ni style zile za nipigage mutama ufanyage zambi zako mwenyewe!
That was a Neanderthal approach mkuu! Dah, yani mtu kalala unaanza kuvua bila maongezi yoyote ya awali!
Halafu nahisi uko kipindi cha ukame au huna experience na vitu hivi.

Anyways sema ulikua unaota!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…