Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi

Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi

Duhh! Kumbe? Surely una kazi, lakini kwa mahakama zetu za kitz hapo itonekana huna kosa!
 
Mhudumu wa ndege akikuchekea na kukuegemea, sio kwamba amekupenda, yupo kikazi zaidi.
 
Mi nilidhani anahitaji ndo mana akanifuata chumbani

hayo yalikuwa mawazo yako tu na tamaa zako kwani kuja chumbani kulizungumza nataka nini lo tena na hapa unapotafuta nyumba usije tena utaanza haya kwani mama mwenyenyumba nae anamazoea hayu na wewe usiyejua kuangalia kwa mtazamo utajikuta unatimuliwa na kodi ukaiacha tafuta kazi pengine hapo ushaweka historia ya ngono
 
ungemmega kusingekuwa na kesi hapo.... mkuu unaonekana hujawahi kucheza game za hatari; hapo ungepenyeza kitu bila kumvua, akishtuka anajikuta mambo yameshaharibika

Hilo haliwezekani ndugu Uume wa mtu kama trekta ukiwa unaingia una vurugu zake kha utafikili umebarehe juzi?
 
hayo yalikuwa mawazo yako tu na tamaa zako kwani kuja chumbani kulizungumza nataka nini lo tena na hapa unapotafuta nyumba usije tena utaanza haya kwani mama mwenyenyumba nae anamazoea hayu na wewe usiyejua kuangalia kwa mtazamo utajikuta unatimuliwa na kodi ukaiacha tafuta kazi pengine hapo ushaweka historia ya ngono
akileta upuuzi wa namna hiyi mi nafanye kweli, huwa sipendi mizaha ya namna hiyo
 
Ulishikwa na Mfadhaiko Ukipelekwa Mahakamani Kosa lako Unaweza Fungwa Miaka kama 30 hivi Sio Mingi sana kwani utakuwa ushafikisha umri wa Kustaafu na utakuta mafao yako yameshachanua...
 
Ilikuwa mwezi march kampuni nayofanyia kazi ilibahatika kupata wageni toka kampuni mama ambayo makao makuu yake yapo ubeligiji, wageni hao walikuwa ni wazungu toka ugeligiji. Wageni hao walipangiwa kazi katika idara mbalimbali mmojawapo alikuja kwenye idara yangu kunisaidia kazi mbalimbali za idara yangu. Mgeni huyu aliyekuwa katika idara yangu alikuwa wa jinsia ya kike na alipewa nyumba ya shirika jirani na nilipokuwa naishi.Ndani ya muda mfudi tulikuwa tumezoeana sana na huyu binti, muda mwingi baada ya kazi alikuwa anakuja kwangu kunitembelea,na mimi mara moja moja nilikuwa nikimtembelea kwake. Nilijikuta nikiwa nimezoeana sana na huyu binti wa kizungu mpaka akawa akija kunitembelea akikuta nipo chumbani naye anakuja huko huko chumbani, tabia hiyo ikavuka mipaka akawa akitoka kazini na akija kunitembelea anaweza hata akaenda chumbani kwangu na kulala. Mwenzenu nikaona kama huyu mtu ananipenda na anajigonga kwangu nikapanga nimtokee, kila nikitaka kumpa yangu ya moyoni mdomo unashikwa na kigugumizi. Jana nivyotoka job midaa ya saa 9.30 nikapitiliza hadi chumbani kwangu kujipumzisha, nilijistua mida ya saa 10.30 kuangalia pembeni yangu nikakuta huyu binti amelala tena amevaa sindiria na chpi. Sio siri nilipatwa na wakati mgumu kwanza nilitaka kumuacha mi niende zangu sebuleni ila wazo likanijia kuwa nipige game kwani amejileta mwenyewe kunipa tunda. Du nikamvua sidiria akiwa usingizini, nikaanza kushusha c..h..u..p kabla sijamaliza akawa ameshtuka. Huwezi amini kilichotokea alianza piga kelele kuwa nataka kumbaka niliomba msamaha lakini hakunielewe amenishtaki kwenye uongozi wa kampuni na leo nimesimamishwa kazi na ofisi nzima inanicheka,nasubilia maamuzi ya kikao kesho. Leo nimejaribu kumpigia sim huyu mzungu kumuomba msamaha lakini hataki kunielewa kabisa. Yaani imekuwa aibu kwelikweli kila mtu ananichekaSasa kinachonishangaza chumbani kwangu na kitandani kwangu alikuwa anafuata nini km alikuwa hana mpango wa kunipa. Jamani nimejifunza kuwa unapohitaji kitu usiconclude unayofikiria kuwa ndo na wengine wanafikiri hivyo

mh wanaume u need to change,msiwaze kuvua ch,, zenu kila wkt guys,,sio ishu wala nn
 
wakikufuza kazi watakuwa hawajui sheria, mwanamke usiku saa nne unafuata nini kwenye chumba cha mwanaume tena umevaa nguo za ndani chupi na sidiria, hiyo kesi yako ukipata mwanasheria mzuri mbona watakukoma unadai fidia ya maana.

yaani mpaka hapo umesha shinda kesi mtu anakufuata chumbani tena kitandani akiwa na chupi na brazia hata dada yako wa tumbo moja hutomwacha au alikuwa anachezea sharubu za simba ajue kama ni mkali ama lah!

Hapana. Dada yangu nitamwacha.
 
Pole sana best japokuwa umefanya kosa mwombe msamaha ikishindikana kama vp hama hata mji aibu utaipeka wapi
 
kumega hujamega alafu kazi ufykuzwe!! pole sana-ila andaa mazingira kwa kuanza kutafuta kazi nyingine
 
Next time usiruhusu mazoea ya kupitiliza na mtu usiyemjua vizuri, pole sana.
 
Na wewe nae umefanya makosa, kwanini umngoje kalala? huo ni ubakaji! hata ikiwa ni mkeo.
 
Ngumu lakini inachezeka na uwezekano wa kushinda upo
 
Ilikuwa mwezi march kampuni nayofanyia kazi ilibahatika kupata wageni toka kampuni mama ambayo makao makuu yake yapo ubeligiji, wageni hao walikuwa ni wazungu toka ugeligiji. Wageni hao walipangiwa kazi katika idara mbalimbali mmojawapo alikuja kwenye idara yangu kunisaidia kazi mbalimbali za idara yangu. Mgeni huyu aliyekuwa katika idara yangu alikuwa wa jinsia ya kike na alipewa nyumba ya shirika jirani na nilipokuwa naishi.Ndani ya muda mfudi tulikuwa tumezoeana sana na huyu binti, muda mwingi baada ya kazi alikuwa anakuja kwangu kunitembelea,na mimi mara moja moja nilikuwa nikimtembelea kwake. Nilijikuta nikiwa nimezoeana sana na huyu binti wa kizungu mpaka akawa akija kunitembelea akikuta nipo chumbani naye anakuja huko huko chumbani, tabia hiyo ikavuka mipaka akawa akitoka kazini na akija kunitembelea anaweza hata akaenda chumbani kwangu na kulala. Mwenzenu nikaona kama huyu mtu ananipenda na anajigonga kwangu nikapanga nimtokee, kila nikitaka kumpa yangu ya moyoni mdomo unashikwa na kigugumizi. Jana nivyotoka job midaa ya saa 9.30 nikapitiliza hadi chumbani kwangu kujipumzisha, nilijistua mida ya saa 10.30 kuangalia pembeni yangu nikakuta huyu binti amelala tena amevaa sindiria na chpi. Sio siri nilipatwa na wakati mgumu kwanza nilitaka kumuacha mi niende zangu sebuleni ila wazo likanijia kuwa nipige game kwani amejileta mwenyewe kunipa tunda. Du nikamvua sidiria akiwa usingizini, nikaanza kushusha c..h..u..p kabla sijamaliza akawa ameshtuka. Huwezi amini kilichotokea alianza piga kelele kuwa nataka kumbaka niliomba msamaha lakini hakunielewe amenishtaki kwenye uongozi wa kampuni na leo nimesimamishwa kazi na ofisi nzima inanicheka,nasubilia maamuzi ya kikao kesho. Leo nimejaribu kumpigia sim huyu mzungu kumuomba msamaha lakini hataki kunielewa kabisa. Yaani imekuwa aibu kwelikweli kila mtu ananichekaSasa kinachonishangaza chumbani kwangu na kitandani kwangu alikuwa anafuata nini km alikuwa hana mpango wa kunipa. Jamani nimejifunza kuwa unapohitaji kitu usiconclude unayofikiria kuwa ndo na wengine wanafikiri hivyo

sikuonei huruma

ulichekea nyani sasa unayavuna mabua.... you didnt draw a line, and you didnt make your intention clear....
 
Na wewe nae umefanya makosa, kwanini umngoje kalala? huo ni ubakaji! hata ikiwa ni mkeo.

very true, hata kama ni mkeo, kuna consent fulani lazima iwepo... sio unarukia tu mbunye kama daladala
 
Ktk Bible kuna pahala panasema..."Lakini kila mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe, na kudanganywa!
Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti..."
haya maneno haya,,mazuri kweli kumuambia mtu,,,usiombe ukutane nayo wakatu unahitaji faraja,,yanaua kabisaaa,,ni wakati gani yatumike,,,kwenye kufundisha na kujenga au wakatiwa kuhukumu kubomoa na kulaani,,,ndugu,,,,
 
Back
Top Bottom