Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi

hofu ya nini kwanza kajileta mwenyewe na wakati yeye alipangiwa nyumba yake, pili hujamtumbukizia sasa wasiwasi wa nini, wote wanakuonea wivu kwa kuvuliwa na kushindwa tumbukiza.
 
Hapo kosa unalo...tena ni mdhungu sijuhi kama utatoka mtegoni.. Wenzetu hata mtu akupe ishara kiasi gani kama hamkuwa na maelewano ya ku do ni umembaka tu. Ndio maana kama umeshasoma vyuo vya western countries wanatoa guide za ni vipi unaweza usishwa na ubakaji..kwa kuwa wanajua wanaume hasa wa Kiafrika wamezoea kujisevia kwa kutafsiri ishara tu.
 
Ktk Bible kuna pahala panasema..."Lakini kila mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe, na kudanganywa!
Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti..."
 
Ktk Bible kuna pahala panasema..."Lakini kila mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe, na kudanganywa!
Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti..."

Mzee maneno yako ni msumari mkubwa sana kwa jamaa. Hebu mfariji maana amezoea kibongo bongo tehe tehe.
 
Dah I'm speechless...hivi hakukuwa na signals zozote kuonyesha kwamba kazimika,licha tu ya kuigia gheto na kutoka?? Mlishawahi kufanya luv story nae?
Anyway, Muombe Mungu wako hope atakuokoa na utarudi kazini amini!!
 

Kisheria sidhani kama una hatia, naona kama ulishikwa na mfadhaiko baada ya yeye kuingia chumbani kwako na kulala kitandani kwako wakati na wewe ukiwa umelala! Pole kwa hilo.
Ila nimefurahishwa na conclusion yako kuwa mtu akitaka kitu usicoclude kwa matendo mtu anayoukufanyia, yanaweza kumaanisha otherwise!
 
we una kosa umeshindwa kumwambia ukweli, sasa unamvua sidiria, una taka kumbaka ni sawa...

Je alikubali umvue
 
Kama ni kweli, basi wazungu vichaa kama sio wendawazimu. Wee ukaache nyumba yako ukapitilize mpaka kwenye chumba cha mtu kwenye nyumba yake bila hata kuwa na hofu?! Sasa hiyo privacy ya mtu ambayo wana-preach kila siku iko wapi hapa?

Na wewe mwenye nyumba ulikuwa unafuga bomu, wewe dada zako wakija wanapitiliza mpaka chumbani? Kwa nini hukuweka mipaka?
 
pole sana mkuu ila mi naona wabembeleze wakupe nafasi ya kujielezea, pia wakati huohuo ongea na huyo dada muulize alikuwa na maana gani kukujia rum kwako namna ile, na umuulize kama alikuwa na nia ya kukufukuzisha kazi kwa kujiletaleta kwako kukutafutia sababu kuwa ulitaka kumbaka..ila next time mkuu usishobokee mtu kujipendekeza kiasi hicho hadi rum kwako itakukost aisee!
 
wadau asanteni kwa ushauri, nimeitwa ofisini na nimeambiwa j.tatu watanipa nafasi ya kujitetea kabla hawajatoa uamuzi wa hili suala, naombeni wanasheria wa jf mnisaidie ili niweze kushinda hili shauri
 
Kesi ndogo hyo sana nenda kwa wanasheria wa ukweli,kwanin wakufukuze kazi? Kwanin isiwe yeye ndio alitaka kukubaka? Pole sana!
Pole sana kaka,tatizo hujashtukizia dalili za mvua,huo ulikuwa mtego ulishapangwa na baadi ya watu ofsini kwako
Hebu fikiria mawasiliano na communication yako kuanzia kwa mfagiaji hadi kwa bosi mkuuu.
Pole sana kaka ila utashinda!
 

Lutayega: Muhimu kampuni yenu kuwafanyia mafunzo ya 'cross cultural training' pamoja na hao wageni.
 
Dah I'm speechless...hivi hakukuwa na signals zozote kuonyesha kwamba kazimika,licha tu ya kuigia gheto na kutoka?? Mlishawahi kufanya luv story nae?
Anyway, Muombe Mungu wako hope atakuokoa na utarudi kazini amini!!
mi nilizani hizo ndo signal na nikaona kuwa ndo muda mwafaka umefika
 

Would you pleas explain more nyumba kubwa ..
Ishara ni zipi na maelewano ni yepi?..
 
Last edited by a moderator:
wakikufuza kazi watakuwa hawajui sheria, mwanamke usiku saa nne unafuata nini kwenye chumba cha mwanaume tena umevaa nguo za ndani chupi na sidiria, hiyo kesi yako ukipata mwanasheria mzuri mbona watakukoma unadai fidia ya maana.

yaani mpaka hapo umesha shinda kesi mtu anakufuata chumbani tena kitandani akiwa na chupi na brazia hata dada yako wa tumbo moja hutomwacha au alikuwa anachezea sharubu za simba ajue kama ni mkali ama lah!
 
Leo ndo nimewasilisha ushahidi wangu, kwa kifupi nilipa msaada wa sheria toka kwa mwanasheria, kesi nimeshinda ila nimepewa onyo na mshitaki ameambiwa km hajaridhika na huo uamzi apeleke shauri lake mahakamani
 
Leo ndo nimewasilisha ushahidi wangu, kwa kifupi nilipa msaada wa sheria toka kwa mwanasheria, kesi nimeshinda ila nimepewa onyo na mshitaki ameambiwa km hajaridhika na huo uamzi apeleke shauri lake mahakamani
shukuru Mungu na asante kwa update. nakutakia mafanikio mema kazini na jifunze from this experience.

kumbuka
Ushauri for the future ni ukiwa unadeal na wazungu ask first, unawezadhani umepata signal kumbe mwenzio hana mpango nawe. wao sio wabongo wanaoona aibu, akitaka kitu anasema
 
pole kaka,ila dah!mambo haya magumu bana?sa na wewesi ungesema siku nyiingu?af huyo mzungu nae sio!hata kama ni uzungu ndo aende chumbani kwa mtu kisha AVUE nguo na kubaki na chupi na sidiria?THIS IS AFRICA BANA!
 
dah hata ningekuwa mimi hii ilikuwa ni kesi kwangu, ebana pole, ila inabidi upate muda wa kujieleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…