First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Mi nilidhani anahitaji ndo mana akanifuata chumbani
ungemmega kusingekuwa na kesi hapo.... mkuu unaonekana hujawahi kucheza game za hatari; hapo ungepenyeza kitu bila kumvua, akishtuka anajikuta mambo yameshaharibika
akileta upuuzi wa namna hiyi mi nafanye kweli, huwa sipendi mizaha ya namna hiyohayo yalikuwa mawazo yako tu na tamaa zako kwani kuja chumbani kulizungumza nataka nini lo tena na hapa unapotafuta nyumba usije tena utaanza haya kwani mama mwenyenyumba nae anamazoea hayu na wewe usiyejua kuangalia kwa mtazamo utajikuta unatimuliwa na kodi ukaiacha tafuta kazi pengine hapo ushaweka historia ya ngono
Ilikuwa mwezi march kampuni nayofanyia kazi ilibahatika kupata wageni toka kampuni mama ambayo makao makuu yake yapo ubeligiji, wageni hao walikuwa ni wazungu toka ugeligiji. Wageni hao walipangiwa kazi katika idara mbalimbali mmojawapo alikuja kwenye idara yangu kunisaidia kazi mbalimbali za idara yangu. Mgeni huyu aliyekuwa katika idara yangu alikuwa wa jinsia ya kike na alipewa nyumba ya shirika jirani na nilipokuwa naishi.Ndani ya muda mfudi tulikuwa tumezoeana sana na huyu binti, muda mwingi baada ya kazi alikuwa anakuja kwangu kunitembelea,na mimi mara moja moja nilikuwa nikimtembelea kwake. Nilijikuta nikiwa nimezoeana sana na huyu binti wa kizungu mpaka akawa akija kunitembelea akikuta nipo chumbani naye anakuja huko huko chumbani, tabia hiyo ikavuka mipaka akawa akitoka kazini na akija kunitembelea anaweza hata akaenda chumbani kwangu na kulala. Mwenzenu nikaona kama huyu mtu ananipenda na anajigonga kwangu nikapanga nimtokee, kila nikitaka kumpa yangu ya moyoni mdomo unashikwa na kigugumizi. Jana nivyotoka job midaa ya saa 9.30 nikapitiliza hadi chumbani kwangu kujipumzisha, nilijistua mida ya saa 10.30 kuangalia pembeni yangu nikakuta huyu binti amelala tena amevaa sindiria na chpi. Sio siri nilipatwa na wakati mgumu kwanza nilitaka kumuacha mi niende zangu sebuleni ila wazo likanijia kuwa nipige game kwani amejileta mwenyewe kunipa tunda. Du nikamvua sidiria akiwa usingizini, nikaanza kushusha c..h..u..p kabla sijamaliza akawa ameshtuka. Huwezi amini kilichotokea alianza piga kelele kuwa nataka kumbaka niliomba msamaha lakini hakunielewe amenishtaki kwenye uongozi wa kampuni na leo nimesimamishwa kazi na ofisi nzima inanicheka,nasubilia maamuzi ya kikao kesho. Leo nimejaribu kumpigia sim huyu mzungu kumuomba msamaha lakini hataki kunielewa kabisa. Yaani imekuwa aibu kwelikweli kila mtu ananichekaSasa kinachonishangaza chumbani kwangu na kitandani kwangu alikuwa anafuata nini km alikuwa hana mpango wa kunipa. Jamani nimejifunza kuwa unapohitaji kitu usiconclude unayofikiria kuwa ndo na wengine wanafikiri hivyo
wakikufuza kazi watakuwa hawajui sheria, mwanamke usiku saa nne unafuata nini kwenye chumba cha mwanaume tena umevaa nguo za ndani chupi na sidiria, hiyo kesi yako ukipata mwanasheria mzuri mbona watakukoma unadai fidia ya maana.
yaani mpaka hapo umesha shinda kesi mtu anakufuata chumbani tena kitandani akiwa na chupi na brazia hata dada yako wa tumbo moja hutomwacha au alikuwa anachezea sharubu za simba ajue kama ni mkali ama lah!
akileta upuuzi wa namna hiyi mi nafanye kweli, huwa sipendi mizaha ya namna hiyo
Ilikuwa mwezi march kampuni nayofanyia kazi ilibahatika kupata wageni toka kampuni mama ambayo makao makuu yake yapo ubeligiji, wageni hao walikuwa ni wazungu toka ugeligiji. Wageni hao walipangiwa kazi katika idara mbalimbali mmojawapo alikuja kwenye idara yangu kunisaidia kazi mbalimbali za idara yangu. Mgeni huyu aliyekuwa katika idara yangu alikuwa wa jinsia ya kike na alipewa nyumba ya shirika jirani na nilipokuwa naishi.Ndani ya muda mfudi tulikuwa tumezoeana sana na huyu binti, muda mwingi baada ya kazi alikuwa anakuja kwangu kunitembelea,na mimi mara moja moja nilikuwa nikimtembelea kwake. Nilijikuta nikiwa nimezoeana sana na huyu binti wa kizungu mpaka akawa akija kunitembelea akikuta nipo chumbani naye anakuja huko huko chumbani, tabia hiyo ikavuka mipaka akawa akitoka kazini na akija kunitembelea anaweza hata akaenda chumbani kwangu na kulala. Mwenzenu nikaona kama huyu mtu ananipenda na anajigonga kwangu nikapanga nimtokee, kila nikitaka kumpa yangu ya moyoni mdomo unashikwa na kigugumizi. Jana nivyotoka job midaa ya saa 9.30 nikapitiliza hadi chumbani kwangu kujipumzisha, nilijistua mida ya saa 10.30 kuangalia pembeni yangu nikakuta huyu binti amelala tena amevaa sindiria na chpi. Sio siri nilipatwa na wakati mgumu kwanza nilitaka kumuacha mi niende zangu sebuleni ila wazo likanijia kuwa nipige game kwani amejileta mwenyewe kunipa tunda. Du nikamvua sidiria akiwa usingizini, nikaanza kushusha c..h..u..p kabla sijamaliza akawa ameshtuka. Huwezi amini kilichotokea alianza piga kelele kuwa nataka kumbaka niliomba msamaha lakini hakunielewe amenishtaki kwenye uongozi wa kampuni na leo nimesimamishwa kazi na ofisi nzima inanicheka,nasubilia maamuzi ya kikao kesho. Leo nimejaribu kumpigia sim huyu mzungu kumuomba msamaha lakini hataki kunielewa kabisa. Yaani imekuwa aibu kwelikweli kila mtu ananichekaSasa kinachonishangaza chumbani kwangu na kitandani kwangu alikuwa anafuata nini km alikuwa hana mpango wa kunipa. Jamani nimejifunza kuwa unapohitaji kitu usiconclude unayofikiria kuwa ndo na wengine wanafikiri hivyo
Na wewe nae umefanya makosa, kwanini umngoje kalala? huo ni ubakaji! hata ikiwa ni mkeo.
haya maneno haya,,mazuri kweli kumuambia mtu,,,usiombe ukutane nayo wakatu unahitaji faraja,,yanaua kabisaaa,,ni wakati gani yatumike,,,kwenye kufundisha na kujenga au wakatiwa kuhukumu kubomoa na kulaani,,,ndugu,,,,Ktk Bible kuna pahala panasema..."Lakini kila mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe, na kudanganywa!
Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti..."