You don't seem to be hurt sana, l hope ni story tu na umeiweka ili iwe funzo kwa wengine!
Jamani kwani huwezi kumuona mtu bila nguo ukamfunika ukaondoka ?
ye ndo alinikuta nimelala
nikaanza kushusha c..h..u..p kabla sijamaliza akawa ameshtuka
Sie Utotoni tulishafanya sana Tulikuwa tunaita Nyato Nyato.. huku mkononi unakitochi kidogo Akija Mgeni wa Kike lazima aliwe lol... Nakumbuka last time niliacha baada ya kukutwa na hali kama Yako nilikula Fimbo sana nikapelekwa kuishi na Bro Mwanajeshi Arusha huko Azimio Dah Nikanyooka...we huna nia njema nami
Mi nilidhani anahitaji ndo mana akanifuata chumbani