Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa naniπππ
Kwa hiyo dawa ya kitu ambacho hukijui ni kuacha na sio kujifunza..hii formular ni mpya kabisa. Sijawahi kuisikia kabla.Wewe ndio hujui kuimba kabisa. Usipoteze muda, tafuta kazi ya maana.
Kwa hiyo dawa ya kitu ambacho hukijui ni kuacha na sio kujifunza..hii formular ni mpya kabisa. Sijawahi kuisikia kabla.
Uko sahihi mkuu, kesho naenda kulima viazi morogoro.Kuimba ni kipaji, huwezi kujifunza kama kuendesha baiskeli.
Uko sahihi mkuu, kesho naenda kulima viazi morogoro.
Akili Mbovu, Si Ulpashwa Utuwekee Hizo Nyimbo Zote tuzisikilize Hapa Au?Kati ya nyimbo mbili auibu na hatufanani kutoka kwa nandy na shetta ipi ni ipi maana zote zimetumia beat moja kutoka kwa kimambo?
Nini tatizo au ndo kimamba kashindanisha?
Na kwa maoni yako upi ni wimbo mzuri kuliko?
s2kizzy me hanishindi mkuu π¬π¬π¬π¬Ya sheta sijaskia ila ya Nandy itakuwa nzuri tu.....
Kwa sasa fundi ni S2Kizzy ndo muda wake ukiisha atakuja mwingine
Weka video yako tuoneNikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudiaππππ
Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa naniπππ