Aibu na hatufanani Nandy na shetta

Aibu na hatufanani Nandy na shetta

Patallo95

Senior Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
199
Reaction score
129
Kati ya nyimbo mbili auibu na hatufanani kutoka kwa nandy na shetta ipi ni ipi maana zote zimetumia beat moja kutoka kwa kimambo?
Nini tatizo au ndo kimamba kashindanisha?
Na kwa maoni yako upi ni wimbo mzuri kuliko?
 
Biti inafanana kwa asilimia 90 na ya Aibu ya Nandy, Blue kamfunika mwenye nyimbo.
 
Nikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudia😀😀😀😀

Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa nani😀😀😀
 
Wewe ndio hujui kuimba kabisa. Usipoteze muda, tafuta kazi ya maana.
 
Kati ya nyimbo mbili auibu na hatufanani kutoka kwa nandy na shetta ipi ni ipi maana zote zimetumia beat moja kutoka kwa kimambo?
Nini tatizo au ndo kimamba kashindanisha?
Na kwa maoni yako upi ni wimbo mzuri kuliko?
Akili Mbovu, Si Ulpashwa Utuwekee Hizo Nyimbo Zote tuzisikilize Hapa Au?
 
Nikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudia😀😀😀😀

Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa nani😀😀😀
Weka video yako tuone
 
Back
Top Bottom