Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Ipo kwenye hii threadWeka video yako tuone
Sasa kwanini usifungue studio mkuu ukatafuta wasanii ukawagongea nyimbo bure hasa hawa wakubwas2kizzy me hanishindi mkuu ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Daah mkuu tatizo pesa tuu.. tunapiga deiwaka kwa studio za watu.. ila ntakujaga kumiliki tuuSasa kwanini usifungue studio mkuu ukatafuta wasanii ukawagongea nyimbo bure hasa hawa wakubwa
Mwakani nitakuita uje upige studio kwangu Inshallah japo lengo ni kumiliki studio ya gospel tu ila naweza change mawazoDaah mkuu tatizo pesa tuu.. tunapiga deiwaka kwa studio za watu.. ila ntakujaga kumiliki tuu
Mkuu umelipia tangazoNikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa nani[emoji3][emoji3][emoji3]
Na Marco Chali akai sample kwenye wimbo wa Binamukawaida nyimbo mbili kutumia beat moja,jamaika wanaita Riddim,instrumental moja inatumiwa na wasaniu hata ishirini.
Pia Angalia nyimbo ya blu cantrel ft Sean Paul inaitwa breathe beat ndi hilohilo alotumia Dr dre kwenye wimbo wa differencw btn me and you.
Mr blue ni khabari nyingine hajawai kuharibuAibu ni nzuri ila hatufanani mr blue ameua.
Hakuna nyimbo hapo wala wasanii hapo over, in basata voiceKati ya nyimbo mbili auibu na hatufanani kutoka kwa nandy na shetta ipi ni ipi maana zote zimetumia beat moja kutoka kwa kimambo?
Nini tatizo au ndo kimamba kashindanisha?
Na kwa maoni yako upi ni wimbo mzuri kuliko?
Hivi huyu sijui kimomba sijui kicrocodile ni producer wa studio gani au yuko pamoja na akina ringtoneNimegundua kitu kwa hawa wasanii wetu wasanii wenye vipaji na wasanii wa promo wasanii wengi wa zamani vipaji viliwabeba hii unaona katika hizi nyimbo mbili za hatufanani ya sheta na aibu ya nandy mdundo mmoja ila sasa ukiangalia ngoma ya nandy unagundua nandy anakipaji kautendea hali mdundo, ukija kuangalia hatufanani ya sheta ndio utajua sasa kati ya hao watatu sheta, jux na blue nani kipaji nani msanii wa promo mdundo huo huo blue kawakalisha balaa ina maana mdundo siyo issue issue nani anapita kwenye huo mdundo, sheta mistari mizuri kutembea kwenye mdundo kachemka
Marco chali amesampo sana nyimbo za mbele bila uoga tena hadi zile maarufu,Mbaya zaidi alikuja kusampo mpaka ile sjui mnaitaje,utambulisho wa projuza,kuna producers wanaitwa Runners walitamba sana miaka 2005-10,sasa wanakisound bite chao maarufu sana kinafanana na ile "Ahhhhhh mtu anayopiga baada ya kufakamia funda za coca cola baridi kwenye tangazo,basi marco akaibeba.Na Marco Chali akai sample kwenye wimbo wa Binamu
Marco kweli kasample beat nyingi sana sana kama usemavyo.... Hivi mkuu kwa mtazamo wako producer hawa wa sasa hivi ni bora kuliko wa 2010 kurudi nyuma?Marco chali amesampo sana nyimbo za mbele bila uoga tena hadi zile maarufu,Mbaya zaidi alikuja kusampo mpaka ile sjui mnaitaje,utambulisho wa projuza,kuna producers wanaitwa Runners walitamba sana miaka 2005-10,sasa wanakisound bite chao maarufu sana kinafanana na ile "Ahhhhhh mtu anayopiga baada ya kufakamia funda za coca cola baridi kwenye tangazo,basi marco akaibeba.
Ilikuwa zamani...cku iz usipojua kuimba midundo itakubeba +promo nyimbo inafika mbali.Kuimba ni kipaji, huwezi kujifunza kama kuendesha baiskeli.
Wanaita 'Tag'...the runners ndo wanaitumia ile Ahaaaaa' ...marco akaibeba km ilivo akat tumeizoea kuiskia kwa kina dj khaled, rick ross na wengine wa mbeleMarco chali amesampo sana nyimbo za mbele bila uoga tena hadi zile maarufu,Mbaya zaidi alikuja kusampo mpaka ile sjui mnaitaje,utambulisho wa projuza,kuna producers wanaitwa Runners walitamba sana miaka 2005-10,sasa wanakisound bite chao maarufu sana kinafanana na ile "Ahhhhhh mtu anayopiga baada ya kufakamia funda za coca cola baridi kwenye tangazo,basi marco akaibeba.
duuh acha kuimba tu mkuuNikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudia๐๐๐๐
Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa nani๐๐๐
Umeonaee inaonekana aliielewa sana hyo tag,alafu hawa maprojuza siwaskii skuizi,pamoja na akina cool n dre,street runners,dj toomp,danja beats,play n skills na wengineo waliotamba zama za 2000-2010.By the way umeskia beat la bangladesh kwenye wimbo wa TI ft meek mill kwenye hii album mpya ya TI,bonge la instrumental.Wanaita 'Tag'...the runners ndo wanaitumia ile Ahaaaaa' ...marco akaibeba km ilivo akat tumeizoea kuiskia kwa kina dj khaled, rick ross na wengine wa mbele
Tatizo sound za sasa iv haziishi mda mrefu. Hebu nambie mpaka sasa kuna biti gan kali unaweza kuifananisha na biti la Daresalam stand up ya chid benz au Ya leo kali by wachuja nafakaMarco kweli kasample beat nyingi sana sana kama usemavyo.... Hivi mkuu kwa mtazamo wako producer hawa wa sasa hivi ni bora kuliko wa 2010 kurudi nyuma?
Hakuna aisee, hakuna kabisa beat za zamani zinaishi hasa za Mzee PfunkTatizo sound za sasa iv haziishi mda mrefu. Hebu nambie mpaka sasa kuna biti gan kali unaweza kuifananisha na biti la Daresalam stand up ya chid benz au Ya leo kali by wachuja nafaka
bonge la ngoma,, kaza utafika mbali ndugu...Nikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudia๐๐๐๐
Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa nani๐๐๐