Aibu na hatufanani Nandy na shetta

Aibu na hatufanani Nandy na shetta

Sasa kwanini usifungue studio mkuu ukatafuta wasanii ukawagongea nyimbo bure hasa hawa wakubwa
Daah mkuu tatizo pesa tuu.. tunapiga deiwaka kwa studio za watu.. ila ntakujaga kumiliki tuu
 
kawaida nyimbo mbili kutumia beat moja,jamaika wanaita Riddim,instrumental moja inatumiwa na wasaniu hata ishirini.

Pia Angalia nyimbo ya blu cantrel ft Sean Paul inaitwa breathe beat ndi hilohilo alotumia Dr dre kwenye wimbo wa differencw btn me and you.
 
Nikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa nani[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu umelipia tangazo
 
kawaida nyimbo mbili kutumia beat moja,jamaika wanaita Riddim,instrumental moja inatumiwa na wasaniu hata ishirini.

Pia Angalia nyimbo ya blu cantrel ft Sean Paul inaitwa breathe beat ndi hilohilo alotumia Dr dre kwenye wimbo wa differencw btn me and you.
Na Marco Chali akai sample kwenye wimbo wa Binamu
 
Nimegundua kitu kwa hawa wasanii wetu wasanii wenye vipaji na wasanii wa promo wasanii wengi wa zamani vipaji viliwabeba hii unaona katika hizi nyimbo mbili za hatufanani ya sheta na aibu ya nandy mdundo mmoja ila sasa ukiangalia ngoma ya nandy unagundua nandy anakipaji kautendea hali mdundo, ukija kuangalia hatufanani ya sheta ndio utajua sasa kati ya hao watatu sheta, jux na blue nani kipaji nani msanii wa promo mdundo huo huo blue kawakalisha balaa ina maana mdundo siyo issue issue nani anapita kwenye huo mdundo, sheta mistari mizuri kutembea kwenye mdundo kachemka
 
Kati ya nyimbo mbili auibu na hatufanani kutoka kwa nandy na shetta ipi ni ipi maana zote zimetumia beat moja kutoka kwa kimambo?
Nini tatizo au ndo kimamba kashindanisha?
Na kwa maoni yako upi ni wimbo mzuri kuliko?
Hakuna nyimbo hapo wala wasanii hapo over, in basata voice
 
Nimegundua kitu kwa hawa wasanii wetu wasanii wenye vipaji na wasanii wa promo wasanii wengi wa zamani vipaji viliwabeba hii unaona katika hizi nyimbo mbili za hatufanani ya sheta na aibu ya nandy mdundo mmoja ila sasa ukiangalia ngoma ya nandy unagundua nandy anakipaji kautendea hali mdundo, ukija kuangalia hatufanani ya sheta ndio utajua sasa kati ya hao watatu sheta, jux na blue nani kipaji nani msanii wa promo mdundo huo huo blue kawakalisha balaa ina maana mdundo siyo issue issue nani anapita kwenye huo mdundo, sheta mistari mizuri kutembea kwenye mdundo kachemka
Hivi huyu sijui kimomba sijui kicrocodile ni producer wa studio gani au yuko pamoja na akina ringtone
 
Na Marco Chali akai sample kwenye wimbo wa Binamu
Marco chali amesampo sana nyimbo za mbele bila uoga tena hadi zile maarufu,Mbaya zaidi alikuja kusampo mpaka ile sjui mnaitaje,utambulisho wa projuza,kuna producers wanaitwa Runners walitamba sana miaka 2005-10,sasa wanakisound bite chao maarufu sana kinafanana na ile "Ahhhhhh mtu anayopiga baada ya kufakamia funda za coca cola baridi kwenye tangazo,basi marco akaibeba.
 
Marco kweli kasample beat nyingi sana sana kama usemavyo.... Hivi mkuu kwa mtazamo wako producer hawa wa sasa hivi ni bora kuliko wa 2010 kurudi nyuma?
 
Wanaita 'Tag'...the runners ndo wanaitumia ile Ahaaaaa' ...marco akaibeba km ilivo akat tumeizoea kuiskia kwa kina dj khaled, rick ross na wengine wa mbele
 
Nikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudia😀😀😀😀

Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa nani😀😀😀
duuh acha kuimba tu mkuu
 
Wanaita 'Tag'...the runners ndo wanaitumia ile Ahaaaaa' ...marco akaibeba km ilivo akat tumeizoea kuiskia kwa kina dj khaled, rick ross na wengine wa mbele
Umeonaee inaonekana aliielewa sana hyo tag,alafu hawa maprojuza siwaskii skuizi,pamoja na akina cool n dre,street runners,dj toomp,danja beats,play n skills na wengineo waliotamba zama za 2000-2010.By the way umeskia beat la bangladesh kwenye wimbo wa TI ft meek mill kwenye hii album mpya ya TI,bonge la instrumental.
 
Marco kweli kasample beat nyingi sana sana kama usemavyo.... Hivi mkuu kwa mtazamo wako producer hawa wa sasa hivi ni bora kuliko wa 2010 kurudi nyuma?
Tatizo sound za sasa iv haziishi mda mrefu. Hebu nambie mpaka sasa kuna biti gan kali unaweza kuifananisha na biti la Daresalam stand up ya chid benz au Ya leo kali by wachuja nafaka
 
Hakuna aisee, hakuna kabisa beat za zamani zinaishi hasa za Mzee Pfunk
 
Nikadhani ni mimi nilieliona hili. Nadhani produces alisifiwa kuwa beat ni zuri akaamua kurudia😀😀😀😀

Wakuu na mimi nina wimbo wangu huko youtube unaitwa 'you are the one' natumia jina hilihili la huku. Mkausikilize ili nijue utakuwa umefanana na wa nani😀😀😀
bonge la ngoma,, kaza utafika mbali ndugu...
 
Back
Top Bottom