rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Bangladesh nilimwelewa kwenyeUmeonaee inaonekana aliielewa sana hyo tag,alafu hawa maprojuza siwaskii skuizi,pamoja na akina cool n dre,street runners,dj toomp,danja beats,play n skills na wengineo waliotamba zama za 2000-2010.By the way umeskia beat la bangladesh kwenye wimbo wa TI ft meek mill kwenye hii album mpya ya TI,bonge la instrumental.
Hahaha tag ya kibabe sana ile mi mwenyewe naielewa,ila mwenyewe ukimwona hafananii na hyo tag wala midundo mizito ya beats zake,unaweza ukadhani ni producer wa gospel.Bangladesh nilimwelewa kwenye
Amilli ya lil wayne
Diva by beyonce
Lemonade by gucci mane
6foot 7 foot by lil wayne
Forever by 8ball & mjg
Tag yake ndo naielewaga kuliko zooote. Bangladeshhhh...
pamoja sana mzeebaba.. timiza ahadi ila 😬😬(joke)Mwakani nitakuita uje upige studio kwangu Inshallah japo lengo ni kumiliki studio ya gospel tu ila naweza change mawazo
Niko serious mzeepamoja sana mzeebaba.. timiza ahadi ila 😬😬(joke)
Hapana mkuu.Mkuu umelipia tangazo
Kuimba siachi mkuu, labda unishauri ni jinsi gani nitakuwa bora.duuh acha kuimba tu mkuu
Shukran kwa kunitia moyo, mkuu.bonge la ngoma,, kaza utafika mbali ndugu...
Kuimba sio kipaji...Mond alifukuzwa THT hajui na Harmonize alifukuzwa Bongo star search...sasa imebakia history...Muziki ni taaluma unaweza kujifunzaKuimba ni kipaji, huwezi kujifunza kama kuendesha baiskeli.
Kuimba sio kipaji...Mond alifukuzwa THT hajui na Harmonize alifukuzwa Bongo star search...sasa imebakia history...Muziki ni taaluma unaweza kujifunza
Q chillaSasa kama unaniambia Diamond hana kipaji cha kuimba, bora niishie hapa.
Hata siku moja mnaweza mkawa mia,lkn kwa level ya kipaji msifanane,lakini haibadilishi kwamba jamaa anakipaji.Alafu kama huna kipaji alafu hujitumi ,usitegemee kipaji chako kukubeba.Mf Ronaldo ana kipaji lakini cha kawaida ila jamaa anajituma sana,mwisho wa siku amewapita mpaka wale wenye vipaji kuliyo yeye.Q chilla
Tid
Baraka
Nature
Kassim mganga
Jide
Dully
Rama dee
Barnaba
Saida karoli
Ditto
Belle 9
Diamond anamzidi nani hapo juu kwa kipaji cha kuimba. Nitajie
Hata siku moja mnaweza mkawa mia,lkn kwa level ya kipaji msifanane,lakini haibadilishi kwamba jamaa anakipaji.Alafu kama huna kipaji alafu hujitumi ,usitegemee kipaji chako kukubeba.Mf Ronaldo ana kipaji lakini cha kawaida ila jamaa anajituma sana,mwisho wa siku amewapita mpaka wale wenye vipaji kuliyo yeye.
Ndio Diamond ,yeye ana kipaji (hii haibadiliki) lkn si cha kutisha,ila dogo anajituma na anajua anataka nini (hii ndio siri ya mafanikio kwa binadam yoyote).Mungu mwenyewe alisema kama amekupa talanta na hujaifanyia kazi (hujajituma katika kuitumia ile talanta) basi atakunyang'anya na atampa yule anayejituma.
View attachment 953078
Hujanielewa na jibu nimekupa hebu rudia nimekupa mfano wa Ronaldo nikakupa wa Samatta na wa Diamond mwenyewe,siku zote ukitaka ufeli katika maisha amini una akili au unakipaji alafu ukashahau kujituma.Mondi kipaji anacho lakini si cha kutisha ila anajituma sana tena sana na anajua anataka nini same as CR7.Umeenda mbali kote huko...atujaongelea mafanikio mzee. Tumezungumzia kpaji km kipaji ok! Diamond + management iliyo siriaz=apo alipo sasa hivi. Kujituma bila management nzuri hufiki popote na ndo mana kwa wenzetu mbele kila cku utaskia msanii katoka lebo hii kahamia ile lakin yote ni kutaka usimamiz mzuri wa kaz zake. Ivo tu
Lakin kujituma bila kuwa na mtaji hufiki popote mkuuHujanielewa na jibu nimekupa hebu rudia nimekupa mfano wa Ronaldo nikakupa wa Samatta na wa Diamond mwenyewe,siku zote ukitaka ufeli katika maisha amini una akili au unakipaji alafu ukashahau kujituma.Mondi kipaji anacho lakini si cha kutisha ila anajituma sana tena sana na anajua anataka nini same as CR7.
That is true, Blue kanyoosha.Aibu ni nzuri ila hatufanani mr blue ameua.
Hapo sasa inabidi uwe karibu na Mondi akueleze yeye kafanyaje.Ila tatizo letu sisi vijana wa kibongo tunapenda kuwekaga beef na watu waliofanikiwa ,utasika "jamaa ana ringa sana mara hooo mshikaji ana dharau",hii ndio tabia yetu vijana wa TZ ,hatu pendi kuwa inspired na mafanikio ya vijana wenzetu tunapenda kujenga beef.Lakin kujituma bila kuwa na mtaji hufiki popote mkuu
Alikiba
Jux
Ben pol nk
Nazan wote hao wanataman kufika alipo diamond na wanaimba balaa lakin je nan atawasaidia kupush mziki wao hilo ndo tatzo
...... mpaka waniambie, shikamoo baba...Aibu ni nzuri ila hatufanani mr blue ameua.
Q chilla aliwahi kusema diamond anamloga hahaaahaaaHapo sasa inabidi uwe karibu na Mondi akueleze yeye kafanyaje.Ila tatizo letu sisi vija wa kibongo tunapenda kuwekaga beef na watu waliofanikiwa ,utasika "jamaa ana ringa sana mara hooo mshikaji ana dharau",hii ndio tabia yetu vijana wa TZ ,hatu pendi kuwa inspired na mafanikio ya vijana wenzetu tunapenda kujenga beef.
Umeona wakati yeye mwenyewe Teja.Mfano mimi msanii anayeniumaa mpaka kesho Belle 9,yaani jamaa namsikiliza yani sielewi anakoseaga wapi naweza kusema anakipaji kikubwa sana kuliko Mondi likini sijui anakosea wapi.Q chilla aliwahi kusema diamond anamloga hahaaahaaa