rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Bangladesh nilimwelewa kwenyeUmeonaee inaonekana aliielewa sana hyo tag,alafu hawa maprojuza siwaskii skuizi,pamoja na akina cool n dre,street runners,dj toomp,danja beats,play n skills na wengineo waliotamba zama za 2000-2010.By the way umeskia beat la bangladesh kwenye wimbo wa TI ft meek mill kwenye hii album mpya ya TI,bonge la instrumental.
Amilli ya lil wayne
Diva by beyonce
Lemonade by gucci mane
6foot 7 foot by lil wayne
Forever by 8ball & mjg
Tag yake ndo naielewaga kuliko zooote. Bangladeshhhh...