aibu naona Mimi kutembea na mwamvuli

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wanadar es salaam wenzangu hili joto mnalionaje.jua Ni Kali hakuna mfano.jua Ni Kali laana.jua Kali mpaka ukitembea nje dakika tano tu unaanza kunukia harufu ya mishikaki kwenye ngozi.sasa Mimi nikafikiria naona suluhisho la kadhia hii Ni kutembea na mwamvuli,tatizo Ni kuwa najishtukia kwamba mtaani Huku nitaonekana mlaini laini.ndo maana nimekuja Huku jf kwa ma great thinker wenzangu nione na maoni yao.nikitembea na mwamvuli SI fresh tu au Ni ushubwada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavaaga chupi saizi gani?
...tuanzie hapo kwanza..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtaani kwenu unaogopa watakuona mlaini laini sasa unadhani huku ndo tutakuona mgumu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…