ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wanadar es salaam wenzangu hili joto mnalionaje.jua Ni Kali hakuna mfano.jua Ni Kali laana.jua Kali mpaka ukitembea nje dakika tano tu unaanza kunukia harufu ya mishikaki kwenye ngozi.sasa Mimi nikafikiria naona suluhisho la kadhia hii Ni kutembea na mwamvuli,tatizo Ni kuwa najishtukia kwamba mtaani Huku nitaonekana mlaini laini.ndo maana nimekuja Huku jf kwa ma great thinker wenzangu nione na maoni yao.nikitembea na mwamvuli SI fresh tu au Ni ushubwada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app