Nyie kila kitu tu mnatafuta makosa na kukosoa kihasi. Unasema kutabika kwa mkuu wa nchi si jambo la kuaibisha. Kikwete leo hii akienda Mexico na kwenye hafla wampe Taco ale halafu atapike mbele ya kamera na hilo mtalikosoa tu. Nyie kila kitu mnakosoa tu.
Mkuu NN,
siko kwenye kukosoa, lakini ni kuelimishana. Kutapika si aibu wala si udhaifu wa kufikiri ama akili! Na ndio maana wakati wa kukusanya "symptoms" wagonjwa huulizwa "unatapika?" Kama ni suala la aibu, basi wagonjwa wangelalamika Madaktari wana wadhalilisha!