Nyie kila kitu tu mnatafuta makosa na kukosoa kihasi. Unasema kutabika kwa mkuu wa nchi si jambo la kuaibisha. Kikwete leo hii akienda Mexico na kwenye hafla wampe Taco ale halafu atapike mbele ya kamera na hilo mtalikosoa tu. Nyie kila kitu mnakosoa tu.
Bora alivyokwepa maana kila ukiwepo mstari wa mbele kuzungumzia gonjwa hili basi ndio wanazidi kuipakazia nchi yako,pengine angezungumza basi siku ya piki ungesikia Tanzania inaongoza kwa wagonjwa wa hilo gonjwa ,maana wangeweza hata kusema si mmemwona makamo wao alivyokuwa anatetemeka wakati akiutubia pengine anao .
Hongera Dr.Shein kwa kukwepa kutuweka hazarani ,bora watuone hatuna viongozi,kwanaza suala hilo wa kulizungumzia ni Mawaziri wa Afya ilikuwaje apelekwe Raisi au Makamo wake,watabaki kupiga makelele lakini amefanya jambo la maana kukwepa kuzungumzia ,hapa tuna gonjwa la mafisadi ni bora pumzi zake akaziweka humu humu nchini.
Nyie kila kitu tu mnatafuta makosa na kukosoa kihasi. Unasema kutabika kwa mkuu wa nchi si jambo la kuaibisha. Kikwete leo hii akienda Mexico na kwenye hafla wampe Taco ale halafu atapike mbele ya kamera na hilo mtalikosoa tu. Nyie kila kitu mnakosoa tu.
Naona watu kama wanamlaumu Dr. Shein kwa kutohutubia kwenye ufunguzi wa mkutano huo.
Sioni kwa nini ni aibu.
nielewesheni, maana nadhani kuna lililonipita.