Habari wadau.
Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi.
Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo.
Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata kuolewa.. sasa 3rd generation ya kuendeleza mali watazaliwa lini? na watakuwa wakubwa lini? na watafundishwa biashara lini?
Matajiri wengi levo ya mengi wamefariki ila hatuoni wakipelekana mahakamani. Tena wengi wao wana watoto wengii na wake wengii kuliko mengi
Kafa tajiri wa Asas kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa Ali mafuruki kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa Zakaria mwenye kiwanda cha Korie kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa baba yao na gsm kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa somaiya sijui wa shivacom kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake.
Kafa Subhash Patel tajiri wa Motisun group. Viwanda kibaoo ila mirathi yake kimyaaa hatujasilia mgogoro wowote.
DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.
MREMA KAFARIKI MGOGORO UMEANZA .
KAFARIKI BILIONEA MSUYA MGOGORO MPAKA MTU NA WIFI YAKE WAMECHINJANA
MAMA LWAKATARE KAFARIKI MGOGORO UMEANZA..
KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA MIRATHI
matajiri wanaoishi maisha ya kimila.. kama bilionea laizer yule wanapofariki ni ngumu kusikia mgogoro maana sheria ya kimila inatumika ( hawatumii ya kiserikali).
Ila ukristo mke mmoja tu ila migogoro kibao