Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Hizi Sheria tuziitazo za Serikali au Common Laws ni Sheria za Wakristo (Sina hakika kama ni za Kikristo)
Kihistoria hizi ni Sheria tulizorithi toka kwa Mwingereza ambaye alitutawala, ambaye naye alizirithi toka kwa Warumi(Roman Empire)
Hawa wote British na Roman zilikuwa dola kubwa za Wakristo
Wakati wanatunga Sheria hizi maslahi ya Wakristo yaliangaliwa kwanza
Kwa hiyo hizi Sheria za Serikali =Sheria za Wakristo
Kwa issue ya Reginald Mengi na watoto wake ni NGUMU SANA, huwezi jua ugumu wake mpaka uvae VIATU VYAKE
Kumbuka Mengi na Mercy walipotoka mpaka kuja kutalikiana 2015 na watoto wakubwa kiasi kile => Mpaka kukubaliana kugawana Mali ==>LIPO JAMBO
Tuishie hapo