Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Inasikitisha mno! Hivi anajua list za familia za matajiri ulimwenguni! Sidhani kama amewahi kusikia watu kama Rothschild familiy! Huwezi zungumzia Banking ulimwenguni bila hii familia! Ziko familia nyingi mno utajiri wao una trace kuanzia 1800..Wewe ni empty headed na hoja yako imefunikwa na dini yako.
Hivi anajua ni nani anatawali biashara ya Diamond ulimwenguni! Ni familia ya ya akina Opennheimer ambao ni wamiliki wa De Beers, biashara hiyo walianza miaka 134 iliyopita, leo bado kitukuu au mjukuu Ernest Oppenheimer bado anaingoza kampuni,huuzi, hununui au huchimbi Diamond ulimwenguni bila De Beers kulamba help yako.Inasikitisha mno! Hivi anajua list za familia za matajiri ulimwenguni! Sidhani kama amewahi kusikia watu kama Rothschild familiy! Huwezi zungumzia Banking ulimwenguni bila hii familia! Ziko familia nyingi mno utajiri wao una trace kuanzia 1800..
Sipendi kuleta mjadala wa kidini! Na sidhani dini ya Kiislam ndio imempumbaza, ni ufinyu wa mawazo yake tu binafsi.
Kwa hiyo unataka kusema sheria ya mirathi ya kiserikali ina matatizo?Ukristo hauna sheria ya mirathi.. hivyo inatumika sheria ya mirathi ya kiserikali .
Which 10 Families Are the Wealthiest?Inasikitisha mno! Hivi anajua list za familia za matajiri ulimwenguni! Sidhani kama amewahi kusikia watu kama Rothschild familiy! Huwezi zungumzia Banking ulimwenguni bila hii familia! Ziko familia nyingi mno utajiri wao una trace kuanzia 1800..
Sipendi kuleta mjadala wa kidini! Na sidhani dini ya Kiislam ndio imempumbaza, ni ufinyu wa mawazo yake tu binafsi.
Hivi anajua ni nani anatawali biashara ya Diamond ulimwenguni! Ni familia ya ya akina Opennheimer ambao ni wamiliki wa De Beers, biashara hiyo walianza miaka 134 iliyopita, leo bado kitukuu au mjukuu Ernest Oppenheimer bado anaingoza kampuni,huuzi, hununui au huchimbi Diamond ulimwenguni bila De Beers kulamba help yako.
Ukristu hauzungungumzii mambo ya mirathi kwa kuwa sio ya kiroho, hayo ni ya kimwili. Ukristu unafundisha maisha ya kiroho hasa baada ya kufa. "vya Kaisari mpeni Kaisari, na vya Mungu mpeni Mungu."KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA MIRATHI
Kwa hiyo unataka kusema sheria ya mirathi ya kiserikali ina matatizo?
Kwa hiyo kuna Ukristo wa Tanzania na Ukristo wa Marekani? Naona unataka kuanza kubadilisha uelekeo wakoHivi sheria ya mirathi ya serikali ya Tanzania ndio ndio inatumika na serikali ya marekani?
Ukristo tanzania unatumia sheria ya mirathi ya serikali ya Tanzania
Ukristo wa Tanzania au wa ulimwenguni?Inawezekana ikawa ina matatizo. Ndio maana napendekeza ukristo utunge sheria yake ili isitumike ya ki serikali
Mbona wazungu wengi wao ni WA kristo lakin hawana migogoro acha upotoshajiHabari wadau.
Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi.
Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo.
Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata kuolewa.. sasa 3rd generation ya kuendeleza mali watazaliwa lini? na watakuwa wakubwa lini? na watafundishwa biashara lini?
Matajiri wengi levo ya mengi wamefariki ila hatuoni wakipelekana mahakamani. Tena wengi wao wana watoto wengii na wake wengii kuliko mengi
Kafa tajiri wa Asas kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa Ali mafuruki kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa Zakaria mwenye kiwanda cha Korie kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa baba yao na gsm kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake
Kafa somaiya sijui wa shivacom kimyaa hatujasikia mgogoro wa mirathi yake.
Kafa Subhash Patel tajiri wa Motisun group. Viwanda kibaoo ila mirathi yake kimyaaa hatujasilia mgogoro wowote.
DINI YA KIKRISTO PIA INAPASWA IBADILIKE NA KUTUNGA MUONGOZO WA MIRATHI YA KIKRISTO. SHERIA YA MIRATHI YA KISERIKALI AMBAYO WAKRISTO WANALAZIMIKA KUITUMIA NI CHANZO CHA MIGOGORO MINGI.
MREMA KAFARIKI MGOGORO UMEANZA .
KAFARIKI BILIONEA MSUYA MGOGORO MPAKA MTU NA WIFI YAKE WAMECHINJANA
MAMA LWAKATARE KAFARIKI MGOGORO UMEANZA..
KILA ANAPOFARIKI TAJIRI MKRISTO TU SEKE SEKE LAZIMA ZIANZE SABABU KUBWA NI BIBLIA IMESAHAU KUWEKA MWONGOZO WA MIRATHI
Matajiri ambao ni Waislamu wenzetu hawaitumii hiyo sheria ya kiserikali. Sababu wao wana muongozo umeandikwa kabisa katika quran yao.
Pia hata matajiri wanaoishi maisha ya kimila.. kama bilionea laizer yule wanapofariki ni ngumu kusikia mgogoro maana sheria ya kimila inatumika ( hawatumii ya kiserikali). Unakuta Mtu ana wake kibao na watoto kibao ila hawagombani wala kuleta mgogoro wa mali.
Ila ukristo mke mmoja tu ila migogoro kibao
Ukristo wa Tanzania au wa ulimwenguni?
We ni muongo biblia imeelezea kuhusu mirathi mfano mtoto wa kwanza na mwisho ni warithi sema tu wewe sio msomaji wa bibliaNdio nimemjaribu kumueleza, dini ya Kikristo haina sheria ya mirathi, sina haja ya kufanunua hapa, Kwa Tanzania sheria za mirathi za serikali zinatumika, na nchi nyingine kama Marekani utaona matajiri wanafariki, sheria za nchi zinatumika labda zivunjwe, kuna familia ya Walton,wanaomiliki Walmart utajiri,mzee Walton alikufa zake kitambo, lakini Wal-Mart inazidi kukua kila leo.
Unazidi kujichanganya...angalia argument ya mleta mada...na mwingine kasema Biblia imefeli...sidhani kama dini inaingia hapa mkuu! Nina mifano mingi mkuu, naona chuki ya dini ndio inataka kusukuma mada! Na nadhani hujui dini ya Kikristo na uhuru aliopewa muumini! Kwa hiyo kama Ukristo umefeli no Tanazinia tu? Huoni ni maswala binafsi mkuu! Don't drag religion into this.Hivi sheria ya mirathi ya serikali ya Tanzania ndio ndio inatumika na serikali ya marekani?
Ukristo tanzania unatumia sheria ya mirathi ya serikali ya Tanzania
Nitajie bilionea gani mwenye jina kubwa ambaye ni mkristo Tanzania amefariki na hakujasikika mgogoro wa mirathi yake?
Kwa hiyo kuna Ukristo wa Tanzania na Ukristo wa Marekani? Naona unataka kuanza kubadilisha uelekeo wako
Mbona wazungu wengi wao ni WA kristo lakin hawana migogoro acha upotoshaji