Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usibishane na wehu broAti RS Berkane ni timu ya kawaida saa! Timu ambayo mwaka juzi ndio walikuwa mabingwa wa hilo kombe na mwaka jana walicheza fainali! Wewe ni noma aisee.
Vv
Tatizo la kukimbia shule hesabu za darasa la tano zinakushindaBall possession 33% kwa 70%?
hasara kwa taifa ni wale walioiga kutangaza utalii wakaishia kupigwa nje ndaniMakolo hasara kwa taifa, naomba watoe lile neno la visit Tanzania.
Haiwezekani timu tumeituma kuwakilisha taifa wanachezewa Kama vile
Aibu zilizotokea Leo kwa makolo
Shoot kipindi cha Kwanza
makolo ....total shoot 0
Rs berkane ....total shoot 10
Ball possession
SIMBA: 33%
Rs berkane 67%
Comment factors for kolo failure
1. Poor government support
2. Aged players
Malizia factors zingine
View attachment 2133625
We unataka udharirishaji upi zaidi ya ule mliofanyiwa na Rivers utd timu ndogo kabisa barani Afrika? Hata goli la offside tu utopolo hakupata nyumbani na ugenini.Angalau simba bado ana nafasi ya kuja kujiuliza tena nyumbani kwa mkapa . Hapo ndipo utakapowataa hao Berkane kwamba siyo wenyewe jinsi watavyogeuzwa asusa.Yanga tusingefanyiwa uzalilishaji huu
Kanuni ni ile ile:Kila mtu ashinde mechi zake nyumbaniWe unataka udharirishaji upi zaidi ya ule mliofanyiwa na Rivers utd timu ndogo kabisa barani Afrika? Hata goli la offside tu utopolo hakupata nyumbani na ugenini.Angalau simba bado ana nafasi ya kuja kujiuliza tena nyumbani kwa mkapa . Hapo ndipo utakapowataa hao Berkane kwamba siyo wenyewe jinsi watavyogeuzwa asusa.
Hata tungeipeleka gwambina.......wasingefanya Kama makolo walivyotuaibishaBaada ya timu ya Simba SC "kukalishwa" (2-0) hapo jana na timu ya kawaida sana RS Berkane katika mechi iliyofanyika ndani ya mji wa Berkane, Morocco. Ipi ni tathmini yako juu ya mchezo huu?
Kwa jinsi wachezaji wa Simba walivyocheza siku ya jana, nadhani walivuka mstari wa kati ya uwanja si zaidi ya mara 10 au zaidi kidogo kwa dakika zote 90.
Hii ilinifanya nitupie jicho tofauti kidogo na watu wengine. Je, unahisi kuna hujuma kutoka kwa wapinzani wetu wa ligi? Namaanisha waliwahonga wachezaji wetu ili "wajikoseshe kulenga" pasi sahihi.
Hivi kweli Simba SC ni ya kupata takwimu hizi kwa mchezo wa Dk 90? Yani tupate 0 namaanisha "Zero" shorts on target?
Je, wewe unadhani kuna hujuma au kiwango chetu kidogo?
View attachment 2133903
View attachment 2133904