Aibu!! Simba hawakupiga shoot lolote kwa hata offside opponent wao

"GSM ni wahujumu uchumi na magaidi wanyonge tu kwakweli" in Makolooo's voice
 
Ati RS Berkane ni timu ya kawaida saa! Timu ambayo mwaka juzi ndio walikuwa mabingwa wa hilo kombe na mwaka jana walicheza fainali! Wewe ni noma aisee.

Vv
 
hasara kwa taifa ni wale walioiga kutangaza utalii wakaishia kupigwa nje ndani
 
Yanga tusingefanyiwa uzalilishaji huu
We unataka udharirishaji upi zaidi ya ule mliofanyiwa na Rivers utd timu ndogo kabisa barani Afrika? Hata goli la offside tu utopolo hakupata nyumbani na ugenini.Angalau simba bado ana nafasi ya kuja kujiuliza tena nyumbani kwa mkapa . Hapo ndipo utakapowataa hao Berkane kwamba siyo wenyewe jinsi watavyogeuzwa asusa.
 
Kanuni ni ile ile:Kila mtu ashinde mechi zake nyumbani
 
Hata tungeipeleka gwambina.......wasingefanya Kama makolo walivyotuaibisha
 
Ati RS Berkane ni timu ya kawaida saa! Timu ambayo mwaka juzi ndio walikuwa mabingwa wa hilo kombe na mwaka jana walicheza fainali! Wewe ni noma aisee.

Vv
Nlijua kule Kuna waamuzi wamchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…