Aibu!! Simba hawakupiga shoot lolote kwa hata offside opponent wao

Mwaka gani unaongelea.......
 
Pamoja na kuwa RS berkane wana historia nzur kwenye kombe la shirikisho ila simba mechi za ugenini hawajiamin kabisa wachezaji kipind cha kwanza wamecheza kiuoga Sana hawajiamin kabisa kipind cha pili angalau
 
Jana walipigiwa mwingi mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…