AIBU:Simba wafanya ushirikina mechi ya leo Taifa.

Uchawi ungekuwa unafanya kazi.. basi Nigeria ingekuwa imechukuwa kombe la dunia Mara nyingi..
 
ndio watanzania tulivyo, uchawi tu mda wote
 

Siku zingine uwe unaacha Kimbelembele / Kiherere hasa pale kama hujui mambo au jambo fulani. Mshika ' Majukumu ' yote ya Simba SC siyo huyo Mzee Somo kama ambavyo Wewe na Yanga SC wenzio wote ' Washamba / Mambwiga ' mnavyojua. Wabeba ' Mabomu ' Wakuu wa Simba SC hasa ya ' Kishirikina ' kwa ndani ya Uwanja ni Ngande na kwa Jukwaani ni Ndugu na Tajiri mmoja hivi wa Afrika Mashariki aliyetekwa kwa Siku Kenda / Tisa wenyewe Watu wa Mpira tunamuita ' KD '. Ya Simba SC yetu tuachie wenyewe na Wewe baki ya Yanga SC yako tafadhali sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…