Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua kunisemea eenhHuwezi kuuona maana miwani ya mahaba imekuziba 😀
vikosi vya bilion lakn matokeo ni sisimiziSimba na Yanga zote zife tu jamani...maana hawana mpira wowote wa maana, kazi kuua vipaji tu.
Yanga imeingiaje hapa kwenye shirki?
Kwa sababu unapotaja mpira wa Tanzania LAZIMA Yanga wawepo.
Leo kwenye mechi kati ya simba sc na Lipuli fc kumetokea vitendo vya kishirikina.Ilipofika muda wa mapumziko mchezaji wa simba Dilunga alikataa kutoka kwenye pitch ya uwanja mpaka pale wachezaji wote wa lipuli watoke lakini lipuli fc wakastuka na mchezaji wao mmoja akawa anagoma kabaki uwanjani hivyo mchezaji Dilunga wa simba na mchezaji mmoja wa lipuli wakabaji uwanjani kila mmoja akimsubiri mwenzake atoke mwanzo.
Uwanja ulifurika kwa shangwe kutoka kwa mashabiki lkn wachezaji hao bado wakawa wanategeana kila mmoja akimsubiri mwenzie atoke.Muda ukawa unayoyoma ndipo Dilunga akamfuata mchezaji huyo wa lipuli na kumsihi watoke lkn kituko walipofika kwenye mstari wa kutoka uwanjani wakategeana ndipo dilunga akamsukumiza mchezaji huyo wa lipuli na yeye akafuatia.
Hata hivyo mganga na komandoo maarufu wa simba aitwaye somo alionekana akitoa maelekezo kwenye benchi la ufundi la simba wkt hali ikiwa tete uwanjani.
Video tizameni mpate mwanga vizuri