Aibu: Tanzania yashika Mkia Elimu ya Juu Afrika Mashariki. Ili Kufuta Aibu Serikali yatenga Bil.972 kuongeza Udahili

Aibu: Tanzania yashika Mkia Elimu ya Juu Afrika Mashariki. Ili Kufuta Aibu Serikali yatenga Bil.972 kuongeza Udahili

Tatizo linaaanzia chini. Wanaodahiliwa hawana uwezo kabisa. Mfano mfano wanaofaulu darasa la Saba kwenda firm one hawana uwezo kabisa,wanaofaulu form four kwenda firm five chujio Lina matundu makubwa alaf form six ety Kila mwaka wanaofaulu kwa 98%
Daaaa tatizo lipo kuanzia chini hukooooo! ndo maana wakienda fanya kazi nje bana
 
Back
Top Bottom