Aibu tupu, amenikuta bafuni nikiwa uchi wa mnyama

Leo imekuwa siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).

Asubuhi ya leo nimenda chooni kwa lengo la kujisaidia pamoja na kuoga lakini janga likanipata mdada wa 1st year amekuja kwa spidi ghafla kavuta mlango na ukachia, nilikuwa nimechuchumaa ikabidi nisamame kwa haraka kuvuta mlango(kibaya nilivua nguo zote nkiwa na lengo la kuoga after), ndugu zangu majanga ikabidi ashike mdomo kwa mshtuko akabaki kusema "samahani jamani" akiwa anaondoka.

Siwezi kueleza yote ila toka asubuhi sikutoka ndani kwa aibu iliyonipata.

Mkuu hakikisha huyo unamgegeda ndio aibu itaisha otherwise haitaisha
 
Kaka iyo kweli noma ila kwa wasio na hekima na busara wataona hakuna tatizo tena kakukuta unakunyaa daaah sasa ww skia mtongoze ule papuchi yake kwisha habari
 
Two things are infinite: the universe and human stupidity; and I'm not sure about the universe.
........ And you are sure about the latter, Right???
Haya ndio mimi naita 'Matusi-nusu na robo', Mtazamo tu.
 
Leo imekuwa siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).

Asubuhi ya leo nimenda chooni kwa lengo la kujisaidia pamoja na kuoga lakini janga likanipata mdada wa 1st year amekuja kwa spidi ghafla kavuta mlango na ukachia, nilikuwa nimechuchumaa ikabidi nisamame kwa haraka kuvuta mlango(kibaya nilivua nguo zote nkiwa na lengo la kuoga after), ndugu zangu majanga ikabidi ashike mdomo kwa mshtuko akabaki kusema "samahani jamani" akiwa anaondoka.

Siwezi kueleza yote ila toka asubuhi sikutoka ndani kwa aibu iliyonipata.
Je angekukuta unapiga punyeto na unaishi nao humo ndani ingekuaje
 
Leo imekuwa siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).

Asubuhi ya leo nimenda chooni kwa lengo la kujisaidia pamoja na kuoga lakini janga likanipata mdada wa 1st year amekuja kwa spidi ghafla kavuta mlango na ukachia, nilikuwa nimechuchumaa ikabidi nisamame kwa haraka kuvuta mlango(kibaya nilivua nguo zote nkiwa na lengo la kuoga after), ndugu zangu majanga ikabidi ashike mdomo kwa mshtuko akabaki kusema "samahani jamani" akiwa anaondoka.

Siwezi kueleza yote ila toka asubuhi sikutoka ndani kwa aibu iliyonipata.
Haya tuma salamu kwa watu wawili
 
Omba shoo mtoke draaw
 
Back
Top Bottom