angelina kabeta
New Member
- Dec 24, 2022
- 3
- 1
Inasikitisha sana kwa taasisi kubwa ya chama chetu kutokemea na kusahihisha upumbavu kama anao fanya huyu naibu waziri wa maji kwa wanawake wa mkoa wa mbeya.
Mimi kama miongoni wa wajumbe wa mkutano mkuu wa wanawake niliitikia wito wa jana kwenda pale tughimbe kwamba tumeitwa na mbunge wa viti maalum, yaani nilishangazwa kwanza kwa theme ya jambo lenyewe eti UWT mkoa wa Mbeya kumpongeza mama, halikuwa jambo baya lakini tunao uongozi wa uwt mkoa hakuona kama ni jambo la taasisi bali lilikuwa ni jambo la mbunge na wapiga kura wake.
Hivi wanawake wa mkoa wa mbeya kila mwaka itakuwa kazi yetu kwenda kula na kupewa posho tena posho zinatolewa kwa nyodo, mbunge anatuambia yeye ni mbunge na naibu waziri bilionea anataka na wanawake wawe bilionea🤣 daah ana mzaha sana huyu, hivi kuna asiye jua upatikanaji wa pesa unazo wahonga wapiga kura wako kila kukicha?
Tangu ukiwa Dc skendo zako za kutorosha madini na mpaka sasa unavyo kaba wakandarasi mpaka wanalalamika, halafu unakuja kudanganya wapiga kura na kuwapa posho za laki laki kwa mbwembwe kabisa.
Hivi umebadilisha nn kwenye jamii? Kwa stahili hiyo unaweza fafanua unajengaje uwt imara mbeya ya kukivusha chama cha mapinduzi?
Au ndo upo busy kujenga machawa wa kukusifia? Marry chatanda wape somo UWT mkoa wa Mbeya sio wanakutana kula na kupigana vijembe biashara imeeisha.
Kaa na Wabunge wako wape semina kazi za kibunge sio kukutana kufanya majungu na mama alisha sema anataka UWT imara sio kama wanavyo fanya wabunge wako wanatengeneza uwt ya wapambe wa kusifiana kwa ajili ya posho.
Na Dkt. Tulia leo kafanya shuhuli ya kuwasilisha utendaji wa kazi kwa wajumbe wa mkutano mkuu wilaya vile ndivyo mbunge anatakiwa kufanya, tulia mfundishe mbunge mwenzako jinsi ya kufanya siasa za kujenga jumuiya na sio siasa za ushangingi. Yaani ilikuwa ni mipasho kwa kweli.
Badilika mahundi , watu wanafurahia pesa zako kwa ajili ya dhiki lakini wanakuchamba ,na wanajua ulisha sema wanawake ni pesa tu hivyo wanakuchora , ipo siku utanishukuru we endelea kujitutumua mama Dangote kama unavyo jiita kwa fedha za ufisadi, tena za wavuja jasho la taifa hili.
Jirekebishe