Aibu: Waajiriwa wanaojiweza ni wengi kuliko wafanyabiashara. Maeneo ya kishua kuna waajiriwa wengi kuzidi wafanyabiashara

Acha kufananisha wafanyabiashara wanaofanya kazi iliobarikiwa na waajiriwa (a.k.a) watumwa.
 
Hii ndio shida ya umasikini wa fikra, leo hii ukiwa na pesa ukienda nchi zinazojielewa.

Unapokelewa mikono miwili watu wanahitaji wenye pesa kujenga uchumi kufanya uwekezaji.
 
Inashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY?

Mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, GSM. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si watu wa kujichanganya sana na sisi watanzania wenye asili ya Kiafrika.

Tukija kwa wafanyaabiashara waliofanikiwa wenye asili zetu ni wachache sana waliotoboa.

Ukienda maeneo yanayosifika kuishi watu wanaojiweza si ajabu ukakuta wafanyabiashara wana nyumba nzuri zaidi kuliko wengine lakini idadi yao kwenye hayo maeneo ni ndogo, wengi waliojenga ni waajiriwa, mfano ukienda osyter bay, mbezi, upaanga, n.k. unawaeza kuta katika nyumba 100 ni 20 tu ndizo za wafanyabiashara.
tuanze na wewe mwenye upo upande gani mwajiliwa au mfanyabiashara?
 
Hizo apartments nzur masaki, oyster bay na maeneo mengine ni za akina nan? Waajiriwa au wafanyabiashara?
 
U have a point hiyo pia ina maanisha bado mazingira ya biashara siyo mazuri, na wizi wa mali ya uma umekithiri , ukichunguza vipato vya hao waajiriwa na thamani za hizo nyumba haviendani
 
Ukichunguza kuna watumishi wa umma wengi wamenunua apartments hasa wa tra huku takukuru wanatoa macho tu, mimi namfahamu mmoja kanunua juzi tu wa tra
 
Hii research ndo sijaielewa vizuri!. Hiv unajua muajiriwa wa aina gani anawez kumiliki nyumba hayo maeneo?.
Mpumbavu huyu jamaa ostabey inamilikiwa na tycoon tu wengi wao ni watanzania waishio nje ya nchi na wachache wa ndani ndio wakina mo

Hata dactari anayelipwa mshahara milioni 5 kwa mwezi hawezi kuishi masaki labda a force wizi.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kumanishaa kuwa daktari labda auze Figo za watu ndio angalau anaweza Jenga chumba kimoja masaki mkuu.. Etc
 
Kudadeki [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
U have a point hiyo pia ina maanisha bado mazingira ya biashara siyo mazuri, na wizi wa mali ya uma umekithiri , ukichunguza vipato vya hao waajiriwa na thamani za hizo nyumba haviendani
Pia usisahau ukichunguza wafanyabiashara waliotoboa wapo majambazi, matapeli, majangili, wauza sembe, n.k. ni aidha walipatia mitaji huko ama wanatakatisha pesa zao chafu kwenye biashara halali
 
Back
Top Bottom