Kabisa mkuu!!!! Waondoke nao, Mtumishi mzuri wa Mungu anatakiwa avute watu wamfuate Kristo. Wamjue sana Mungu na kuamua kumpokea Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wao. Siyo kumtaka E. K!!!! E. K. ni mtumishi wa Mungu anaweza kutumwa kokote kutenda kazi ya Bwana!!!Wafuasi wa Kimaro hao. Ndio maana tunaomba aondoke nao. Wanatuharibia kanisa. Wapo kwaajili ya mtu sio Kristo.
Mmeamua kutukomesha na mapicha picha ya mtandaoni sasa!Suruali ni vazi la kiume na vazi la kiume kuvaliwa na mwanamke ni machukizo kwa Bwana, Mungu wetu.
Jua kutofautisha Roho inayotuvaa na mavazi tunayovaa.
uwe muelewa tafadhali, si kila vazi la kuingia nalo kanisani
Kheri hawa wamevaa kuliko wale wa mwaka 1902 waliokuwa uchi.View attachment 2485346
View attachment 2485347
Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Tukiachana na kanisa hili la kilutheri kupasuka kila kukicha kwa migomo na vurugu kama ile vuta nikuvute ya mwaka jana Mbeya, nimeona pia kwenye suala la mavazi hawapo makini hata kidogo.
Leo katika kanisa la kkkt kijitonyama kumekuwa na wamama wanazunguka ndani ya kanisa kupinga uamuzi wa kuchomolewa kwa kiongozi flani, nguo walizovalia ni taiti na jeans zilizobana.
kanisa linawezaje kuwa la hovyo kiasi hiki kuruhusu waumini kujivalia wanavyotaka ?
Tuache ujinga wa kupotoshana kwamba sijui kinachoangaliwa ni roho mavazi hayapeleki mbinguni, Mungu alishaweka katazo kutokuvaa mavazi ya jinsia tofauti na pia mavazi ya kuvaa yawe ya kustiri, tunakoelekea kwa sasa zitaanzakvaliwa jeans zilizochanika (ripped jeans) kama hii ya kwenye picha.
View attachment 2485374
Hii ni lini? AU ni siku ya kuandamana ? AU ni siku ya ibada?View attachment 2485346

Kwahiyo hapa ndo pamesema suruali ni vazi la kiume?tuanze hapa
Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Kwahiyo unatumia picha hiyo kuongeza ushawishi😆.Suruali ni vazi la kiume na vazi la kiume kuvaliwa na mwanamke ni machukizo kwa Bwana, Mungu wetu.
Jua kutofautisha Roho inayotuvaa na mavazi tunayovaa.
uwe muelewa tafadhali, si kila vazi la kuingia nalo kanisani
iyo mali apo chini unadhani mtumish fake unatoboa😂View attachment 2485346