Aibu: Waumini wanawake KKKT wanaenda kanisani na suruali / jeans zilizobana, kanisa linachukulia poa tu

Wafuasi wa Kimaro hao. Ndio maana tunaomba aondoke nao. Wanatuharibia kanisa. Wapo kwaajili ya mtu sio Kristo.
Kabisa mkuu!!!! Waondoke nao, Mtumishi mzuri wa Mungu anatakiwa avute watu wamfuate Kristo. Wamjue sana Mungu na kuamua kumpokea Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wao. Siyo kumtaka E. K!!!! E. K. ni mtumishi wa Mungu anaweza kutumwa kokote kutenda kazi ya Bwana!!!
 
Kanisa sio kwaajiri ya wenye mienendo mizuri tu na walio potoka wanatakiwa waende ili wakabadilishwe... Kwenye baadhi ya makanisa wanaacha muumini akielimika anaacha asipo acha ndo anaambiwa
 
Suruali ni vazi la kiume na vazi la kiume kuvaliwa na mwanamke ni machukizo kwa Bwana, Mungu wetu.

Jua kutofautisha Roho inayotuvaa na mavazi tunayovaa.

uwe muelewa tafadhali, si kila vazi la kuingia nalo kanisani

89703f42f84d9a91eb8becc3ec0c1173.jpg
Mmeamua kutukomesha na mapicha picha ya mtandaoni sasa!
 
View attachment 2485346

View attachment 2485347

Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.

Tukiachana na kanisa hili la kilutheri kupasuka kila kukicha kwa migomo na vurugu kama ile vuta nikuvute ya mwaka jana Mbeya, nimeona pia kwenye suala la mavazi hawapo makini hata kidogo.

Leo katika kanisa la kkkt kijitonyama kumekuwa na wamama wanazunguka ndani ya kanisa kupinga uamuzi wa kuchomolewa kwa kiongozi flani, nguo walizovalia ni taiti na jeans zilizobana.

kanisa linawezaje kuwa la hovyo kiasi hiki kuruhusu waumini kujivalia wanavyotaka ?

Tuache ujinga wa kupotoshana kwamba sijui kinachoangaliwa ni roho mavazi hayapeleki mbinguni, Mungu alishaweka katazo kutokuvaa mavazi ya jinsia tofauti na pia mavazi ya kuvaa yawe ya kustiri, tunakoelekea kwa sasa zitaanzakvaliwa jeans zilizochanika (ripped jeans) kama hii ya kwenye picha.

View attachment 2485374
Kheri hawa wamevaa kuliko wale wa mwaka 1902 waliokuwa uchi.
 
Hii ni lini? AU ni siku ya kuandamana ? AU ni siku ya ibada?
Halafu hiyo picha ya hapo chini, hapo alipo ni kanisani?
 
tuanze hapa

Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Kwahiyo hapa ndo pamesema suruali ni vazi la kiume?
 
Suruali ni vazi la kiume na vazi la kiume kuvaliwa na mwanamke ni machukizo kwa Bwana, Mungu wetu.

Jua kutofautisha Roho inayotuvaa na mavazi tunayovaa.

uwe muelewa tafadhali, si kila vazi la kuingia nalo kanisani

89703f42f84d9a91eb8becc3ec0c1173.jpg
Kwahiyo unatumia picha hiyo kuongeza ushawishi😆.
Nataka kujua Biblia wapi imeandika suruali ni vazi la kiume. Je wazee wetu kipindi Wana vaa ngozi na magome kilikuwa na magome na ngozi za kike ?
Ni utashi wa mwanadamu ndio umetumika kuweka madaraja haya ktk mavazi.
Nakazia: Hata Yesu hakumfosi Eskariot kubadili mwenendo wake na waliomfuata Ni baada ya kuingiwa na mafundisho na kubadili utu wao kutokea ndani ( Private ) na kumalizia ktk utu wa nje ( Public ) .
Wafunze wakijua Huku walipo so sahihi na kujikana watabadilika.
 
View attachment 2485346

View attachment 2485347

Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.

Tukiachana na kanisa hili la kilutheri kupasuka kila kukicha kwa migomo na vurugu kama ile vuta nikuvute ya mwaka jana Mbeya, nimeona pia kwenye suala la mavazi hawapo makini hata kidogo.

Leo katika kanisa la kkkt kijitonyama kumekuwa na wamama wanazunguka ndani ya kanisa kupinga uamuzi wa kuchomolewa kwa kiongozi flani, nguo walizovalia ni taiti na jeans zilizobana.

kanisa linawezaje kuwa la hovyo kiasi hiki kuruhusu waumini kujivalia wanavyotaka ?

Tuache ujinga wa kupotoshana kwamba sijui kinachoangaliwa ni roho mavazi hayapeleki mbinguni, Mungu alishaweka katazo kutokuvaa mavazi ya jinsia tofauti na pia mavazi ya kuvaa yawe ya kustiri, tunakoelekea kwa sasa zitaanzakvaliwa jeans zilizochanika (ripped jeans) kama hii ya kwenye picha.

View attachment 2485374
iyo mali apo chini unadhani mtumish fake unatoboa😂
 
Mambo yamekuwa mambo. Bring back our pastor
 
Hao wanawake wanaonekana kama wametengenezwa kwa kazi maalum, bahati mbaya muonekano wao mahala husika umepunguza thamani ya kile wanachokipigania kwenye mabango yao.
 
Back
Top Bottom