Aibu ya waandishi wa habari wa Tanzania wakikanyagana kufuata noti zilizokua zinarushwa na msanii

Aibu ya waandishi wa habari wa Tanzania wakikanyagana kufuata noti zilizokua zinarushwa na msanii

Boss, afadhali hata hao walioiba. Kurushiwa hela za madafu kama mbwa ni zaidi ya dharau. Afadhali zingekuwa ni KES. Yaani wanahabari wanataka kuuana kwasababu ya makaratasi ambayo yamefanyiwa tie and dye? 😀
Utakua hauko serious baba angu.
Yani wanajeshi watukufu wa taifa lenye uchumi wa Kati KDF wanaiba mkate jamaniiiii ambao huku kwetu ht 2000 haufiki ??
Mkate bro are you serious indeed mlinzi wa Taifa anayelipwa na serikali mshahara na marupurupu juu anaiba mkateeeee??!!
Hii kweli shughuli
 
Mkuu,
Punguza hii maneno ya dirty laundry, yaani wewe kila ukuchapo ni kutafuta uchafu Tuu wa TZ..

Hata UK amekuzidi maarifa?
 
Hahaha! 😀 mkate? ni kama 75 KES halafu eti hawa ndo wanajiita wanajeshi (walinzi wa taifa)
Utakua hauko serious baba angu.
Yani wanajeshi watukufu wa taifa lenye uchumi wa Kati KDF wanaiba mkate jamaniiiii ambao huku kwetu ht 2000 haufiki ??
Mkate bro are you serious indeed mlinzi wa Taifa anayelipwa na serikali mshahara na marupurupu juu anaiba mkateeeee??!!
Hii kweli shughuli
afadhali hao mabloggers waliorushiwa hizo 10K kuliko walinzi wataifa walio sahau kulinda taifa lao na kuiba mikate
Kwasababu nyinyi ni wanahabari wa Tz, ambao wamebobea kwenye taalauma yao. Hebu nionesheni video ya hao mnaowasemea, 'in action' wakiiba hiyo mikate live. Mkiweza mje niwarushie elfu moja moja ya Kenya(23,000tzsh), ndio angalau mpunguze njaa. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Heheheheeee then soma comments za chini kuna jamaa anakwambia KDF is normal for them to loot.
They even sell their weapons to Alshababs.
It means kumbe mnajiuaga wenyewe ???!!!!!

THEN SITAKI HIYO 1000 KSH=23000 TSH
I HAVE DINAR IN MY POCKET.
I CAN GIVE YOU TO DECREASE STARVATION IN TURKANA.
 
Back
Top Bottom