Utakua hauko serious baba angu.Boss, afadhali hata hao walioiba. Kurushiwa hela za madafu kama mbwa ni zaidi ya dharau. Afadhali zingekuwa ni KES. Yaani wanahabari wanataka kuuana kwasababu ya makaratasi ambayo yamefanyiwa tie and dye? π
Hahaha! π Elfu kumi hela za madafu ni sawa na 450 KES! Alafu eti hawa ndio wanajiita wanahabari.
Hahaha! π mkate? ni kama 75 KES halafu eti hawa ndo wanajiita wanajeshi (walinzi wa taifa)
Utakua hauko serious baba angu.
Yani wanajeshi watukufu wa taifa lenye uchumi wa Kati KDF wanaiba mkate jamaniiiii ambao huku kwetu ht 2000 haufiki ??
Mkate bro are you serious indeed mlinzi wa Taifa anayelipwa na serikali mshahara na marupurupu juu anaiba mkateeeee??!!
Hii kweli shughuli
Kwasababu nyinyi ni wanahabari wa Tz, ambao wamebobea kwenye taalauma yao. Hebu nionesheni video ya hao mnaowasemea, 'in action' wakiiba hiyo mikate live. Mkiweza mje niwarushie elfu moja moja ya Kenya(23,000tzsh), ndio angalau mpunguze njaa. [emoji38][emoji38][emoji38]afadhali hao mabloggers waliorushiwa hizo 10K kuliko walinzi wataifa walio sahau kulinda taifa lao na kuiba mikate
Kwasababu nyinyi ni wanahabari wa Tz, ambao wamebobea kwenye taalauma yao. Hebu nionesheni video ya hao mnaowasemea, 'in action' wakiiba hiyo mikate live. Mkiweza mje niwarushie elfu moja moja ya Kenya(23,000tzsh), ndio angalau mpunguze njaa. [emoji38][emoji38][emoji38]