Aibu: Yanga inabebwa Taifa

Aibu: Yanga inabebwa Taifa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mara zote niliwapinga sana wale ambao walishangaa timu mbovu ya Yanga inavyoongoza ligi kuu , lakini leo nimeona namna inavyobebwa na ninaamini hii timu huenda imefika hapo ilipo kwa kubebwa , wanacheza faulo za hovyo lakini wanaachwa tu ! hakuna kipyenga wala maonyo yoyote ! kubwa kuliko yote Shishimbi kaudaka mpira ndani ya box lakini mwamuzi kajifanya kipofu !

Hakika kwa mwendo huu mpira wa bongo hautafika popote .
 
Mara zote niliwapinga sana wale ambao walishangaa timu mbovu ya Yanga inavyoongoza ligi kuu , lakini leo nimeona namna inavyobebwa na ninaamini hii timu huenda imefika hapo ilipo kwa kubebwa , wanacheza faulo za hovyo lakini wanaachwa tu ! hakuna kipyenga wala maonyo yoyote ! kubwa kuliko yote Shshimbi kaudaka mpira ndani ya box lakini mwamuzi kajifanya kipofu !

Hakika kwa mwendo huu mpira wa bongo hautafika popote .
Umeandika kishabiki sana,hivi shishimbi kaudaka kweli ule mpira!?
 
second half yanga inapigiwa almost nusu uwanja , hii timu kiukweli hamna kitu , nadhani tatizo ni mishahara
 
Unaposema hii timu hamna kitu unamaanisha nini mimi nijuavyo kwenye mechi zinatafutwa pointi 3 na timu pendwa Yanga ina pointi nyingi kuliko timu yoyote kweli ligi husika
iko juu kwa kubebwa tu
 
Back
Top Bottom