Aibu: Yanga inabebwa Taifa

Aibu: Yanga inabebwa Taifa

Hili ndo bus linalowabeba Yanga na kuwapeleka uwanjani pale kuchukua point 3 zetu
Yanga.jpeg
 
Hakuna offside hapo. Embu angalia wakati mpira unapigwa hakuwa kwenye offside position, ni uzembe wa mabeki.
Screenshot_2018-12-16_215438.jpeg
Screenshot_2018-12-16_215237.jpeg
Screenshot_2018-12-16_215159.jpeg
Screenshot_2018-12-16_215137.jpeg
 
Mara zote niliwapinga sana wale ambao walishangaa timu mbovu ya Yanga inavyoongoza ligi kuu , lakini leo nimeona namna inavyobebwa na ninaamini hii timu huenda imefika hapo ilipo kwa kubebwa , wanacheza faulo za hovyo lakini wanaachwa tu ! hakuna kipyenga wala maonyo yoyote ! kubwa kuliko yote Shishimbi kaudaka mpira ndani ya box lakini mwamuzi kajifanya kipofu !

Hakika kwa mwendo huu mpira wa bongo hautafika popote .
Labda nikwambie usichokijua Kuhusu Yanga, ni kweli Mpira wao haufurahishi sana kwa kuangalia. Lakini wanatumia vizuri nafasi wanazozipata mchezoni. Pili, wachezaji wamechoka kwa sababu ya kucheza mechi mfululizo na ndio maana Zahera anafanya ujanja wa kuwachezesha wachezaji wake kwa ku alternate. Yanga wanatakiwa kumshukuru sana Kocha Mwinyi zahera kwa kucheza na saikolojia za wachezaji na kuwapa hamasa hasa kutokana na hali yao kiuchumi otherwise muda huu tungekuwa tunazungumzia kukwepa kushuka Daraja.
 
Kuna thread ukiiona unajua tu kwandishi mbumbumbu, yaani badala ya kuandika kama mtu aliye na maarifa ameandika wakati ana kibri, jazba na chuKi za wazi, refer sentensi ya kwanza. Kwa style hii tunapoteza think tank siku hadi siku, m niwashauri tu washabiki wa simba acheni kuchonga chonga, mnapiga domo sana, mlianza eti tutashuka daraja, mikoani tutafungwa, timu mbovu, leo mnakuja na kioja cha kijinga eti tunabebwa😁😁😁😁
Inashangaza mnajiita mna kikosi kipana ila zero na mioyo yenu inawauma. Hamieni yanga sio dhambi, maana huku ukiskia zimebaki dakika tatu ombeni makambovic elizye byee asiguse mpira otherwise anafunga mnzimia mnakufa 😁😁😁😁
 
Piga filimbi basi weka penati aaah ata ulaya uwaga yanatokea ukimaind jinyonge ulianza kushangilia draw 2-2 Mara Makambovic akasababisha uumwe tumbo LA.....
 
Mara ya kwanza ilikuwa yanga inabebwa kwakucheza michezo mfululizo uwanja wa Taifa! mkasema subiri aende mkoani! zimepigwa zote mkabaki Kimya! sasa kisingizio kimegeuka tena imekuwa marefa?
 
Mara zote niliwapinga sana wale ambao walishangaa timu mbovu ya Yanga inavyoongoza ligi kuu , lakini leo nimeona namna inavyobebwa na ninaamini hii timu huenda imefika hapo ilipo kwa kubebwa , wanacheza faulo za hovyo lakini wanaachwa tu ! hakuna kipyenga wala maonyo yoyote ! kubwa kuliko yote Shishimbi kaudaka mpira ndani ya box lakini mwamuzi kajifanya kipofu !

Hakika kwa mwendo huu mpira wa bongo hautafika popote .
Hapo shemela ulichemka.
 
Bora sasa Yanga tumepata wa kumshangilia na kuwakata kilimilimi Simba kwenye kombe la mabaingwa

1. Yalikuja Mbabane yakawa na nembo nyekundu (simba B) hatukuwashangilia wala kuwapa mbinu

2. Yakaja ma nkana ikawa kila kitu yanafanana na simba kuanzia mavazi hadi uchezaji wa slow motion tukawachunia

3. Sasa wamekuja ambao wanavaa jezi zenye rangi ya heshma na tutawashangilia!!!!!

1546427723727.png
 
View attachment 983760
Hawa si ndio wamesajili Tom Ulimwengu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom