Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Umeandika kishabiki sana,hivi shishimbi kaudaka kweli ule mpira!?Mara zote niliwapinga sana wale ambao walishangaa timu mbovu ya Yanga inavyoongoza ligi kuu , lakini leo nimeona namna inavyobebwa na ninaamini hii timu huenda imefika hapo ilipo kwa kubebwa , wanacheza faulo za hovyo lakini wanaachwa tu ! hakuna kipyenga wala maonyo yoyote ! kubwa kuliko yote Shshimbi kaudaka mpira ndani ya box lakini mwamuzi kajifanya kipofu !
Hakika kwa mwendo huu mpira wa bongo hautafika popote .
Ongelea penalties lakini si goli halali la YangaGoli la yanga ni offside, ruvu wamenyimwa penalt mbili za wazi. Mbeleko fc
andika wewe basi , mtu kaukumbatia mpira mithili ya mke wa ndoa bado unabisha ?Umeandika kishabiki sana,hivi shishimbi kaudaka kweli ule mpira!?
ngoja nimdukue jina lake , hii game siyo kabisa aisee !Mwamuzi wa mechi hiyo ni nani?
andika wewe basi , mtu kaukumbatia mpira mithili ya mke wa ndoa bado unabisha ?
Unaposema hii timu hamna kitu unamaanisha nini mimi nijuavyo kwenye mechi zinatafutwa pointi 3 na timu pendwa Yanga ina pointi nyingi kuliko timu yoyote kwenye ligi husikasecond half yanga inapigiwa almost nusu uwanja , hii timu kiukweli hamna kitu , nadhani tatizo ni mishahara
iko juu kwa kubebwa tuUnaposema hii timu hamna kitu unamaanisha nini mimi nijuavyo kwenye mechi zinatafutwa pointi 3 na timu pendwa Yanga ina pointi nyingi kuliko timu yoyote kweli ligi husika
kwani ngapingapi huko jamanisecond half yanga inapigiwa almost nusu uwanja , hii timu kiukweli hamna kitu , nadhani tatizo ni mishahara
Sasa unalalamika au unatoa taarifa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]second half yanga inapigiwa almost nusu uwanja , hii timu kiukweli hamna kitu , nadhani tatizo ni mishahara
2 Kwa 2kwani ngapingapi huko jamani