Aibuuu Emmanuel Mbasha amtongoza Carry aambulia cha mbavu

huyu ni wa kike au wa kiume? kwanza hata kuandika hajui
 
Hivi kumbe huyo ni jinsia ya pili,mi nilidhani ni Wa kiume aisee....Maana siku Hizo kuna wanaume Wanabehave like a women
 
Mtoa mada huyo binti hapo si mtoto.. Pia yakupasa ufahamu kutongoza kwa mwanamume rijali si ajabu na wala si aibu.. Hapa aliyefanya vibaya ni huyo aliyeweka mambo binafsi hadharani kutongoza na kutongozwa ni sehemu ya maisha yetu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sura ya plastic... Ukiondoa hayo makandiko usoni unaweza kukimbia... Macho yamepishana, lips kulia na kushoto tofauti, soap dish za kuua mtu

Anyways, labda ndio kinachompa kibri ya kupakazia watu
Na sisi tunaochapa nyembu ili mradi tu ni jinsia ya "ke" bila kujali sura nzuri au mbovu/imepinda tunakomenti uchochoro UPI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoto gan huyo minyonyo imeshashuka kama malapa
 
Mambo ya mikoani bwana, ah sasa huyo bi dada huku mjini si anaweza akakaa ata miaka sita ajatongozwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…