Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Dah kweli kila shetwani na Mbuyu wake sasa hapa kaenda kufuata nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula za mbavu kwa mwanaume anapotongoza ni jambo la kawaida,ukiogopa kutoswa mbunye utaishia kuzisikia tu maredioni
Sura ya plastic... Ukiondoa hayo makandiko usoni unaweza kukimbia... Macho yamepishana, lips kulia na kushoto tofauti, soap dish za kuua mtu
Na sisi tunaochapa nyembu ili mradi tu ni jinsia ya "ke" bila kujali sura nzuri au mbovu/imepinda tunakomenti uchochoro UPI?Sura ya plastic... Ukiondoa hayo makandiko usoni unaweza kukimbia... Macho yamepishana, lips kulia na kushoto tofauti, soap dish za kuua mtu
Anyways, labda ndio kinachompa kibri ya kupakazia watu
mtoto gan huyo minyonyo imeshashuka kama malapaAliyekuwa mume wa Frola Mbasha aambulia aibu ya mwaka baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kupata penzi la DJ Carry au Carrymastori kama anavyojulikana na wengi .
Carry ametishia kuanika chats zao zote ambazo Emma alikuwa anamtumia Carry kulilia penzi la Carry licha ya mara kadhaa Carry kumkataa lakini jamaa amekuwa king'ang'anizi mpaka kero.
Hii ni aibu kwa kweli ,yani jitu zima badala ya kuhangaika na watu wa rika lake anahangaika na vitoto mpaka anaonekana kituko .View attachment 1073235View attachment 1073236
ila wabaya kwa nyodo tuko vzr
Mbaya kinyama yan na hapo amepigwa makeup inch 2 je akipiga picha ametoka kulala
acha ushamba wewe wakuja! Watu wanatafuta followers kila kitu kinapangwa siku hizi.Mambo yanazidi kunoga huko