GE2025 Aida Kenani aaga wapiga kura Nkasi Kaskazini akisema, "sitasaliti mapambano"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
Aliyekuwa Mbunge pekee wa Chadema kutoka Nkasi Kaskazini, Aida Kenani amewaaga wapiga kura wake akisema kama atagombea hakuna wa kumshinda. Hata hivyo, amesema hawezi kusaliti mapambano.
Chadema imeweka msimamo wa kuzuia uchaguzi hadi mabadiliko yatakapopatikana, maarufu "No Reforms No Election."

Your browser is not able to display this video.
 
Ime mpenda sana huyu dada. Mungu ata mpa ushindi. Hongera sana Aida wewe ni mwanasiasa..
 
Kuna siku atageuka rangi tutashangaa aha ha 😄 🤣
 
Ubarikiwe dadangu, umenifundisha kitu!! wewe ni wathamani sana!! Kuliko wabunge 20 wa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…