GE2025 Aida Kenani aaga wapiga kura Nkasi Kaskazini akisema, "sitasaliti mapambano"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Heri yake yeye ana akili.
 
Nilifikiri mtafurahi kubaki ulingoni peke yenu na kujitwalia viti vyote lakini ajabu bado mnaumia mama!! 😹
Na umuulize 2020 kabla hao chadema hawajasusia..hali ilikuaje?
 
Lissu kawaingiza chaka wenzake kususia uchaguzi. Huu ni uamuzi wa kipumbavu zaidi kuwahi kufanywa na chama cha siasa.
Mlitaka ashiriki ili muue wananchi watakao dai uhalali wa kura zao? Kumbuka mlicho kifanya uchaguzi wa serikali za mitaa ,msijifanye mtakuwa watakatifu kwenye uchaguzi mkuu et8 mnawataka wapunzani washiriki ,ninyi ni nyoka wenye sumu hamjali utu wala wala hitaji la wananchi
 
Lissu kawaingiza chaka wenzake kususia uchaguzi. Huu ni uamuzi wa kipumbavu zaidi kuwahi kufanywa na chama cha siasa.

Unataka haya yawafike wakati ccm hutumia mbinu za utekaji na kuua na kuiba kura.
 
Natamani CDM wamalizane na msajili aingie ulingoni..!
Yaani hadi leo hujajua kwanini Chadema hawatashiriki uchaguzi? hujasikia kuhusu No Reforms. No Election?
 
Kwa huyu akina Easter Bulsya waingie 10000 ndoa wanaweza kumkribia huyu Aida kwa akili
 
Lissu kawaingiza chaka wenzake kususia uchaguzi. Huu ni uamuzi wa kipumbavu zaidi kuwahi kufanywa na chama cha siasa.
Ulitaka washiriki kama 2020 na waishie kupata Mbunge mmoja tena au Mbunge 0?

Sura halisi ya watawala wa sasa ilionekana kwenye uchaguzi uliopita wa Serikali za Mitaa

Ni upumbavu kutaka kushiriki uchaguzi kwa sheria na kanuni zile zile year in year out huku ukitegemea matokeo tofauti (huruma ya watawala). Einstein alitafsiri hicho kitu kama INSANITY!
 
Huyu mama hana tamaa kama wale covid 19
 
Lissu kawaingiza chaka wenzake kususia uchaguzi. Huu ni uamuzi wa kipumbavu zaidi kuwahi kufanywa na chama cha siasa.
Lisu na cdm wamefanya uamuzi wa kishujaa sana, huwezi kuendelea kushiriki kwenye chaguzi za kihuni kama zombie. Watu wajinga tu ndio hushiriki kwenye chaguzi zilizopangwa matokeo.
 
Nakumbuka mara baada ya kutangazwq kuwa ameshinda alituambia kuwa hawezi kukiuka maagizo ya viongozi wake ambao walisema hamna kuingia Bungeni. Kilichofuata ni anakula kiapo cha ubunge! Alipoulizwa kulikoni, alisema hawezi kuwaangusha wapiga kura wake waliomtakq akawawakilishe. Kwa muda mrefu chama chake kilimtenga kwa sababu hiyo. Ila amekipigania sana chama chake. Anastahili kushukuriwa kwa hilo.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…