Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Rukwa, Aida Khenani, amewataka wananchi kutowalaumu askari wa chini kwa vifo vilivyotokea Kyela Oktoba 29, bali kuhoji mamlaka iliyotoa amri ya matumizi ya nguvu.
Akihutubia mkutano wa hadhara Kyela Juni 7, 2026, amesema CHADEMA inalenga kuwawajibisha waliohusika kutoa maelekezo hayo bila kujali jinsia, dini, kabila au itikadi za kisiasa.
Aidha, amedai matukio hayo yameacha maumivu makubwa kwa familia nyingi, hasa wanawake waliopoteza ndugu zao.
Pia soma