Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu aidan msigwa nadhani mpaka sasa atakua amemfunika ndugu diamond platinumz kwa utajiri baada ya kufanikiwa kusajili na kuuza madini ya dhahabu kilo 111.82 yenye thamani za kitanzania shilingi bilioni 20.11 katika soko la madini chunya