MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Dhahabu haina faida za dukani faida ya dhahabu ni superprofitHapo ukiweka running costs, unakuta faida mil 500 tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhahabu haina faida za dukani faida ya dhahabu ni superprofitHapo ukiweka running costs, unakuta faida mil 500 tu.
Mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu aidan msigwa nadhani mpaka sasa atakua amemfunika ndugu diamond platinumz kwa utajiri baada ya kufanikiwa kusajili na kuuza madini ya dhahabu kilo 111.82 yenye thamani za kitanzania shilingi bilioni 20.11 katika soko la madini chunya