Hayuko sahihi, cash is King.Maybe unaweza kuwa uko sahihi lakini ngoja waje wachumi
Mimi nikajua labda jamaa ndio kapiga bingo for the first time kumbe ni mbaya toka zamaniHua hao wasanii anawaita kule camp, kuburudisha wasanii wake weekend kadhaa, hakuna msanii hajampeleka kule, mabasi ya achimwene ni yakwake pesa anayo kitambo, kule camp ana vijumba safi, na wafanyakazi anao kama 300 wote anawalipa hadi nssf anawachangia, mfagiaji pale analipwa 250k per month, marehemu Sauli alikuaga mfanyakazi wake zamani kabla ya kujitegemea, Kwa mkinga kaamua kutangaza hiyo tu lakini yuko njema kita
Huyo hiyo kwake ni ndogo kitambo, anapeleka dhahabu marekani, austaralia kitambo sana, mwenye mabasi ya sauli alikua mfanyakazi wake enzi hajajipata na yeyeNilifikiri jamaa ndio kapoga
Mimi nikajua labda jamaa ndio kapiga bingo for the first time kumbe ni mbaya toka zamani
Halafu anatokea tako anajitapa kwenye tiktok na Inasgram anakashifu watu na kujiita tajiri .Huyo hiyo kwake ni ndogo kitambo, anapeleka dhahabu marekani, austaralia kitambo sana, mwenye mabasi ya sauli alikua mfanyakazi wake enzi hajajipata na yeye
Faida ni zaidi ya hiyoHapo ukiweka running costs, unakuta faida mil 500 tu.
Hapo ukiweka running costs, unakuta faida mil 500 tu.
Japokuwa dhahabu zenyewe ukiziweka kwenye hilo gunia la mahindi hazijai111.82 kg ni sawa na gunia la mahindi lililoshindiliwa.
Kama mchimbaji mdogo anaweza kujaza dhahabu gunia moja maana yake ni kwamba nchi imejaa rasilimali za asili ila ina viongozi matahira
Yeah ina density kubwa sanaJapokuwa dhahabu zenyewe ukiziweka kwenye hilo gunia la mahindi hazijai
Hapana. Dhahabu nzito kinoma., kwahiyo volume kidogo uzito mkubwa.111.82 kg ni sawa na gunia la mahindi lililoshindiliwa.
Kama mchimbaji mdogo anaweza kujaza dhahabu gunia moja maana yake ni kwamba nchi imejaa rasilimali za asili ila ina viongozi matahira