Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

Wakuu ,I am withdrawing my thread, someone took me through the all process and found text messages which shows the money was deposited to my account. Btw ,kwenye simu yangu upande wa text message ili kuzuia sms za hovyo hivyo natumia True caller sms app kublock sms za matangazo, promotions na service providers ambazo sizihitaji, so hizo sms toka NMB sikuziona until I disabled the app. So l hereby apologize to all for the inconvenience caused. Na pia namshukuru member aliye take trouble kuja in box kunielewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ukweli. Pesa imeingia kwenye akaunti yako na meseji umepata, huo wizi upo wapi??

Risiti inasoma hapo kwenye meseji ya simu yako, wewe umekariri hadi upewe lundo la makaratasi!!! Hawa st.kayumba ni wasumbufu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA HIYO NA WEWE UKAKUBALI UNAONA UNAIBIWA UNAANGALIA TU?
 
Huu ndio ustaarabu wa Mtanzania na Mwafrika ulivyokuwa huko zamani,ukigundua kuwa ulikosea,ni vyema kuomba samahani.
Kongole kwa kuomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…