AIDS huweza ambukizwa na matunda?

AIDS huweza ambukizwa na matunda?

n samahani nilisahau...kuhusu asili ya hilo neno kusema kweli sijui sana sana najua lapenda kutumiwa kwenye kipindi flani cha redio ya Times FM bongo sijui if bado kipo chaitwa pillow talk
 
Ikiwa hivyo mambo ni magum basi, stori hiyo inafanana na ya mbu ambaye amenyonya damu ya mwathirika wa HIV.

Sidhani kama stori ni ya kweli.
 
Back
Top Bottom