health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
- Thread starter
- #21
hongera, lkn tafuta njia nyingine kukupata, sio jf tu, wengine tunasoma kidgo na kutok, kwa hiyo ukurasas hu hauna kakika kuuoana tena
Hii ni elimu kwa wote siyo kwa ajili ya wanaoweza kutumia internet tu. Nina imani kuwa wanaoweza kutumia internet wanaweza pia kufikisha ujumbe kwa sehemu kubwa ya jamii. Pia hii siyo njia pekee iliyotumika kufikisha ujumbe kwa jamii inayotuzunguka. Zipo njia nyingine na anayepata hii elimu anakuwa anaweza kupata fursa ya kuuliza vizuri kama hajaelewa ili elimu kwa wale wasiyoipata direct iweze kuwafikia vizuri pia. Kwa kutaka kuuliza zaidi namba yangu inakuwa hewani muda wote. Shukrani