Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Huu ni ushauri wa bure.
Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati.
Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi.
Kupiga picha na selfie kwenye magari ya watu na haina maana. Huu ni utapeli wa kitoto. Jitahidini kua wabunifu.
Nina hasira baada ya mtu ninaemheshimu juzi kunipeleka kwenye seminar ya mambo ya kipumbavu.
Hovyo kabisa.
Hizi kampuni zimepigwa marufuku nchi zilizoendelea, nchi zetu zinaona zinawakumbatia, business model yao ni illegal in many countries, yaani Tanzania wizara zimekaa sijui zinafanya nini, matatizo yapo kila kona na mengine solution ni ndogo sana, ni kusema tu umepigwa marufuku wakaondoka. Shithole country
Hizi kampuni zimepigwa marufuku nchi zilizoendelea, nchi zetu zinaona zinawakumbatia, business model yao ni illegal in many countries, yaani Tanzania wizara zimekaa sijui zinafanya nini, matatizo yapo kila kona na mengine solution ni ndogo sana, ni kusema tu umepigwa marufuku wakaondoka. Shithole country
Hawana chochote, Qnet wanajifanya kua wao sio pyramid scheme, kua wana products nzuri wanauza kwa hiyo income ipo.Mbona hao Qnet wanadai wanaudhamini namatch za nje...yaan dah hapa nimestaajabu kwakweli..sikua najua hili
Hawana chochote, Qnet wanajifanya kua wao sio pyramid scheme, kua wana products nzuri wanauza kwa hiyo income ipo.
Ila system wanayotumia ya marketing ni ileile, get more people in you make more money, then wanapush sana watu wauze products zao, wangekua na product nzuri wasingehitaji kutumia pyramid scheme kuuza product yao, wangefanya marketing ya kawaida tu wangeingiza pesa kibao, siku hizi watu wanauza product hata instagram na wanatengeneza millions, why go the route ambayo itapunguza mno faida yako kwa kusplit income kama una product nzuri?
They know their products are shit, wanaishia kutumia business model za wizi. Honestly hizi companies zinazotumia hii scheme muwe mnakaa nazo mbali sana, it's a total waste of time na kusema kua mtu utatajirika hapo si kweli, utapata vi laki vichache then hela itakata, most of the money itaishia kwa waanzilishi.
Dola 200@pp!😄😄!unaleta watu 2 nao wataleta watu 2 kila mmoja tayari tunaanza kupiga pesa
Mwaka 2014 nilijichanganya nikaingia forever na kulipa laki 7 zangu, yaani hadi Leo nikizikumbuka roho inauma hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
poleMwaka 2014 nilijichanganya nikaingia forever na kulipa laki 7 zangu, yaani hadi Leo nikizikumbuka roho inauma hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app