hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
😃😃😃 mzee baba walitaka kukugeuza fursaHuu ni ushauri wa bure.
Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati.
Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi.
Kupiga picha na selfie kwenye magari ya watu na haina maana. Huu ni utapeli wa kitoto. Jitahidini kua wabunifu.
Nina hasira baada ya mtu ninaemheshimu juzi kunipeleka kwenye seminar ya mambo ya kipumbavu.
Hovyo kabisa.