Aina 11 ya JF members, wewe uko wapi?

Sisi wakina Libra tunaingia wapi hapo [emoji16]
 
12.Paparazzi-they know everything about other jf member eg when they are online,what they post,how they behave,how many IDs they possess etc

Hahahaaa that's funny and very much right on the money.

Wakati mwingine 'wanajua' mambo kukuhusu wewe ambayo hata wewe mwenyewe huyajui! Imagine that!!

Out of nowhere mtu anaibuka na kusema wewe RRONDO "una UKIMWI" [hapo hata hakujui unafananaje achilia mbali kukupima huo UKIMWI] au wewe RRONDO "unamiliki bajaji mbili" wakati hata bajaji hujawahi kuipanda.

Watu dizaini hiyo sijui hata unaanzia wapi kuwajibu.

The imagination of JF members is so rich beyond belief.
 
Hiyo namba 15 kumbe ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…