kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Unataka kusema huwa wanafanywa nini huko wakati wa kampeni?
Mbona kuna wabunge wazuri tu wa viti maalum na mmoja wa ngara nilitaka kumtafuta mazee!
Ila mi sioni shida kwani gazeti kama sijalisoma hata kama ni la juzi kwangu mi ni jipya tu
Mbunge wangu wa viti maalum kutoka ngara ujue nakupenda
Sent using Jamii Forums mobile app

kama ni binti anajihusisha na kampeni za CCM huyu ni wakukimbia kabisa ndom inaweza kupasuka
Sent using Jamii Forums mobile app